Mods naomba mnisaidie kumfikishia ujumbe wangu huyu mdada anae jiita smile.

hahaaa Smile= Manyanza
nataka Mods wazi merge hizi ID
usijisumbuee kutongoza humu kaka
 
Mwambien nampenda sana,ila nashndwa kujieleza moja kwa moja kwake coz ya tabia yake ya kutokujibu PM zangu.

Umehakikisha kama ni mwanamke, asiye kuwa dume ndiyo maana hajibu PM zako. Kutongozana kwenye mtandao noma sana.
 
Achana na mambo ya immagnation. Tulia usome, semister inayoyoma.
 
Na kweli hata mie ningekua smile wala nisingetaka ukaribu na ww! Kila siku una kisa kipya! Kama sio wanawake wanakung'ang'ania basi ni ww unawafukuzia. Jenga imagination nzuri. Afu taratibu na huo mkopo wa bodi baba, itakula kwako!
 
hahahahaha eti mkopo wa bodi lol
 
Back
Top Bottom