modem za zantel za zamani e220 huawei inachakachulika?

eliesikia

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
787
755
Hii modem ina kadude kaa kuingizia LINE lakini yenyewe kama yenyewe haitumii line na Zantel inapiga net kama kawa...

Sasa nataka kuichakachua kama modem nyingine ili nitie line ya TIGO au AIRTEL hivi nipige maJF ya kutosha kila day...

Maujuzi jamani au sio??

nawasilisha
 
hiyo ni sehemu ya kuweka memorycard.
 
Hii modem ina kadude kaa kuingizia LINE lakini yenyewe kama yenyewe haitumii line na Zantel inapiga net kama kawa...

Sasa nataka kuichakachua kama modem nyingine ili nitie line ya TIGO au AIRTEL hivi nipige maJF ya kutosha kila day...

Maujuzi jamani au sio??

nawasilisha

Zantel inatumia technologia ya CDMA wakati tiGO ,VODA,Airtel wanatumia technologia ya GSM... kwa hiyo hata kama inachakachulika huwezi kutumia kwenye hiyo mitandao mitatu ,labda TTCL na Sasatel tu.
 
Mkuu hii ya kwake ya E220 bila shaka itakuwa ni zile za GSM....Zantel wana technologia zote mbili GSM na WCDMA. I stand to be corrected
 
nikweli!, lakini cjui kama walisha wahi kutoa GSM modem
 
Back
Top Bottom