Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

watu magenius kama akina robart estern,isac newton hawakuwa na mda wa kudiscus mapenzi. Myika ni mmojawapo wa watu kama hao. So radhia diva umeingia choo cha kiume.
 
umekaa kiudaku udaku mkuu! Sion tatizo kwa mnyika kutokutaka kuongelea private issue zake.
 
Hizi blog na radio nyingine hazina tofauti na magazeti ya shigongo!!!'

Peleka hii takataka kwa manjunju ndo wataiona ni habari!!
 
Huyo diva lazima achukie kwani uwezo wake wa kufikiri ukiulinganisha na mnyika ni kama kusini na kasikazini;

mnyika awe ameoa/anamchumba/ hajaoa wala hana mchumba- sio issue kwetu sie tunataka maendeleo tu,

diva of what ???????????
 
C kila kitu unaleta hapa mkuu, unaonekana ni mbea! Hii peleka kule faccebook utakutana huko na wajinga wenzako huko. Usiwe na akili za maiti bwana. Watangazaji wenyewe wa hiyo radio ni mashoga na wasagaji.we bado unasikiliza hizo radio za wahunu! Labda una akili ya maiti!.
 
Mijitu mijinga utaiona tu, inakomalia hata vitu visivyo na msingi. Au huyo diva ndo ameamua kujitangaza ajulikane kupitia Mh Mnyika. Watu wameachana na radio ya WAFU hivyo watangazaji wanatumia mbinu za mchangani kupata publicity
 
Mijitu mijinga utaiona tu, inakomalia hata vitu visivyo na msingi. Au huyo diva ndo ameamua kujitangaza ajulikane kupitia Mh Mnyika. Watu wameachana na radio ya WAFU hivyo watangazaji wanatumia mbinu za mchangani kupata publicity
Well said mkuu....
 
Mshaanza kutafuta njia za kuchafuana! Halafu huyu Diva huwa simuelewi, wachumba au magirlfrnd wa wenzake wanamuhusu nini!? Kama siku amekosa ya kubwabwaja kwenye kipindi chake si apige mzk yaishe! Kuongelea maswala yako binafsi si lazima na hakuna wakukushurutisha kufanya hvyo!! We mpambe wa diva nenda uwe unapiga naye umbea wa unayofanya kila siku!
 
Safi sana Hon Mnyika simamia kile unachokiamini utafanikiwa,amekaa kishambengashambenga sana huyo hata yeye anamambo yake ambayo hataki yawekwe hadhalani akikuita tena mkatalie
 
Here wo go again!

Mnyika naye kwa nini alikubali kwenda kwa Diva? Alitegemea ataulizwa mambo ya miswada ya bungeni? Come on now...

Mimi nilisikiliza hicho kipindi. Mnyika hakwenda kwa Diva bali alipigiwa simu na Diva na akaanza kuulizwa maisha yake ya kimapenzi. He was short and clear kuwa hapendi maisha yake binafsi yaongelewe publicly kama haina sababu za msingi. Ndo Loveness akajisikia vibaya.

My take. Mnyika was very right. si kila mtu anapenda kuongelea maisha yake binafsi redioni. Mbona hawampigii Tyson kumuuliza kama ana mke na alimpataje?
 
Here wo go again!

Mnyika naye kwa nini alikubali kwenda kwa Diva? Alitegemea ataulizwa mambo ya miswada ya bungeni? Come on now...

Si afadhali angekuwa studio, huyu kapigiwa simu tu alipo kuulizwa swali dogo tu anakaa kutoa ushirikiano. Mbona Mbunge mwenzake Januari Makamba yeye alikwenda kabisa studio na akafanya kipindi vizuri kabisa kuhusu masuala ya mapenzi? https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/226496-january-makamba-ndani-ya-ala-za-roho-ya-clouds.html Yeye ni nani mpaka anakaa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya habari?

.......ndiyohiyo
 
Na wewe unajihesabu ni gt,peleka upumbavu wako kwenye udaku na jokes.Kuna watu ambao mnachongachonga sana kuhusu mnyika! Mnyika ni wa calibre nyingine inaonekana magamba aliwakamata pabaya kuchukua jimbo la ubungo mpaka vilaza akina hawa ng'humbi wanafungua kesi zisizo kuwa na mashiko
 
Mtangazaji mahiri na maarufu wa kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa na Clouds Fm ametoa siri kuhusu mahojiano yake na Mnyika. Siri hizo ni pamoja na ushamba wa Mnyika kuingiza mambo ya umma na maji katika kipindi kinachohusu mapenzi. Diva amesema pia Mnyika alitambua kwamba Diva alikasirika na kumkatia simu baada ya kukaa kujibu swali rahisi kabisa kuhusu mapenzi.

Diva ametoa sauti ya mahojiano yake hayo aliyoyafanya na Mnyika baada ya kumpigia simu na kumrekodi akimuuliza iwapo ana Girl Friend ambapo Mnyika alikataa kujibu wa kisingizio kuwa masuala yake binafsi sio ya kuyazungumza kwenye vyombo vya habari bali mambo ya umma pekee ndiyo anayoweza kuyatolea kauli kwenye vyombo vya habari.

Madai hayo yanasikika kupitia: DIVA VS MNYIKA by DivaAKAmimi on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free

Mnyika alitoa madai hayo huku akitambua kwamba yeye ni mwanasiasa hivyo maisha yake binafsi yanapaswa kujulikane yote kwa umma bila kuficha kitu chochote.

Hali hiyo ilimfanya Diva achukie na kukata simu bila mahojiano hayo kwa njia ya simu kukamilika, hali ambayo ilimfanya Mnyika atambue kama anavyosikika kupitia: DIVA VS MNYIKA- BEHIND THE SCENE by DivaAKAmimi on SoundCloud - Create, record and share your sounds for free

..........ndiyohiyo
ndiyo hiyo, umepotea sana mkuu, nakumbuka ulikuwa ukileta minuz ya kufa mtu hapa, what happened mkuu.

Kwahiyo issue hapa ni kuwa Myika hana girlfriend/partner/wife ama issue ni kwamba alikataa ku disclose hizo info?

Nini kilimkasirisha sasa huyo diva?Ama na yeye anamtaka Mnyika?
 
Si afadhali angekuwa studio, huyu kapigiwa simu tu alipo kuulizwa swali dogo tu anakaa kutoa ushirikiano. Mbona Mbunge mwenzake Januari Makamba yeye alikwenda kabisa studio na akafanya kipindi vizuri kabisa kuhusu masuala ya mapenzi? https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/226496-january-makamba-ndani-ya-ala-za-roho-ya-clouds.html Yeye ni nani mpaka anakaa kutoa ushirikiano kwa vyombo vya habari?

.......ndiyohiyo

Hapa sasa unamuonea, mbona anatoa ushirikiano kwetu? Jana alikuwa Channel Live tena asubuhi akiwa na David Ramadhan na mapema kwenye kipindi cha Barugumu, leo nimemsikia Live tena kwa muda mrefu kipindi cha Super Mix East Africa Radio cha Michael Baruti na Zembwela.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom