Mnyika's refusal of talking about his private life dissapoints Clouds FM

kwanini alikubali mwaliko? Jamaa mshamba kinoma yaani.
Mnyika atakuwa amekubali akitegemea mtangazaji kajipanga kimtiririko kumhoji mtu kama yeye! Ameuliza kihunihuni tu! Ndio maana nikasema nafasi hiyo hiyo angepewa Masoud Masoud,Taji Liundi au John Dilinga unafikiri Mnyika angechomoka? Tatizo Diva hata kipindi chake kimekaa kitoto toto sana yaani mapenzi ya kitoto toto na ukijumlisha na ile lafudhi ya ki weed! Ah wapi hamuwezi Mnyika! Hiyo ni failure ya mtangazaji! Kama aliweza kwa Zitto fine maana Zitto anapenda sifa by nature!
 
Wauliza swali watakuwa washamba sana kiasi hata hawajuhi kutengeneza maswali,swali la hivi na personal hivi yanini kuwa too subjective?hawana uelewa na hypothetical responses badala yake wao wako direct na mwisho jibu likipatikana tofauti na walivyotegemea wanaamua kufunga vioo,kwa ujinga wao wametufanya watanzania tukose vitu vingi sana

Ama kuna mtu anamwinda pale studio na kamanda kashtukia dili,upo juu kaka kama Nyerere
 
Hiko kipindi ni cha mapenzi mwanao mwisho. Sasa ulitaka waanze kumuuliza juu ya vikao vya bunge?
 
Wametumwa hawa!Midia yenyewe mbona iko wazi mambo yake,Inajipendekeza badala yakuelimisha jamiii!Mnyika sio mjinga ameshaifahamu hii midia!Ndio maana akajibu vile kuepuka mazoea nayo!Mleta mada mwenyewe anaonyesha yeye Gamba!Au hamsomi jinsi anavyowakilisha!SIFA ZAKIJINGA.
 
Swali utakalomuliza wema na jokate kina tid sijui kina mr blue its bit different na swali utakalomuuliza jjmnyika hata mimi ningekuwa ndo mnyika jibu lingekuwa hilo swali ni private sana
Hata kama kipindi ni cha mapenzi inabidi uulize kutokana na muhusika eti una gf WTF
Ndo matatzo ya kutosemea ethic za uhandishi wa habari kazi kupeana
 
Hawa wanasiasa washamba wangepewa kozi ya ujanja kidogo. Eti kipindi cha maswala ya mapenzi jamaa analeta misifa ya kijinga. Clouds safi sana kwa kumkatia simu.
Kwani si walijipendekeza wenyewe kumpigia simu
 
KIpindi cha Diva kinajuulikana ni masuala ya mapenzi na "ngono" mwanzo mwisho. Inashangaza kuona mwanasiasa anakwenda kwenye kipindi kama hicho kisha anataka kujifanya hataki kuzungumzia masuala ya mapenzi.

Kama hawezi asingeenda tokea mwanzo
 
Kakatiwa simu=alipigiwa simu=hakuwa studio!

Asingeenda wapi sasa?
 
Kakatiwa simu=alipigiwa simu=hakuwa studio!

Asingeenda wapi sasa?

Hakuna mwanasiasa anaepigiwa simu kutoka studio bila ya kuambiwa awali. Kama alikubali kupigiwa simu na kupokea maana yake alikwishajua kitakachojadiliwa kwenye kipindi hicho
 
KIpindi cha Diva kinajuulikana ni masuala ya mapenzi na "ngono" mwanzo mwisho. Inashangaza kuona mwanasiasa anakwenda kwenye kipindi kama hicho kisha anataka kujifanya hataki kuzungumzia masuala ya mapenzi.

Kama hawezi asingeenda tokea mwanzo
umeolewa?
 
kwani Zito ni mwenza wa Mnyika????

hiyo ni tungo tata na ashakum si matusi nnavyofahamu Zito hana u-wenza na Mnyika kwa maana zote za neno mwenza ikiwemo ambayo pengine ndiyo unayoikusudia ya kuwa wote ni wanasiasa.

Nadhani Zito is a liberal katika mambo ya mapenzi wakati Mnyika ni conservative..yote ni mitazamo na yote ni sahihi kama ni wewe ni objective great thinker lakini kama wewe ni subjective great thinker..utachukua upande kama ambavyo Radhia Sweety umefanya.

Muhimu ni kutambua si kila kifanywacho na wengi au akina fulani ndiyo sheria na kwamba wote lazima tupite njia hiyo. Mfano, binafsi napingana na utamaduni wa kumfanya mke wa Rais kuwa first lady...najiuliza why first lady, sisi tumepiga kura kuchagua rais na siyo kuchagua first lady, kama yeye ni first lady basi na iwe nyumbani kwake na kwa mumewe, hii habari ya mke wa rais naye ni kama kiji-rais inatoka wapi? Najua utaniambia mbona wenzetu wanafanya na pengine ukanipigia mfano wa marekani, nami ntakuuliza mbona wenzetu wengine hawafanyi mfano Waingereza, Waarabu nk.

Ni mitazamo tu..so big up Mnyika...simamia kile unachokiamini...achana na wapuuzi wanoitazama dunia mfano mtu mwenye chongo!!!

uko poa mkuu
 
Haaaaa watu Geneous hatuwazi kuoa, haaaaa!!!!

Only simple brain thinks about sexual issues!!!! Kwani Diva ana midume mingapi??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom