Haya kama una muda tena wahi ukumbini wahi ticket yako au kaa chonjo saa kumi na moja itakuwa LIVE star TV kwa maelezo zaidi nipigie .
Hiyo ticket ni ya kununua au...?Haya kama una muda tena wahi ukumbini wahi ticket yako au kaa chonjo saa kumi na moja itakuwa LIVE star TV kwa maelezo zaidi nipigie .
tatizo hii midahalo yenu hamuifanyii kwa walengwa na wananchi wa kawaida mnakimbilia mijini2,, haya yamalizeni wenyewe
Wanadhani Tanzania ni Dar,Arusha,Mwanza na miji kama hiyo tu.Wanasahau Tanzania ni pamoja na Godegode.Sukamahela,Idodyandole,Kalangase na vijiji kama hivyo.
sure GT,TUNAHITAJI MIDAHALO IENDE MPAKA BUSHANGARO,KATOMA,SONGAMBELE,ILUGANZIRA,MBITIMBI NA KWINGINE!HAPO UTAKUWA NI WA WA TANZANIA!Wanadhani Tanzania ni Dar,Arusha,Mwanza na miji kama hiyo tu.Wanasahau Tanzania ni pamoja na Godegode.Sukamahela,Idodyandole,Kalangase na vijiji kama hivyo.
sure GT,TUNAHITAJI MIDAHALO IENDE MPAKA BUSHANGARO,KATOMA,SONGAMBELE,ILUGANZIRA,MBITIMBI NA KWINGINE!HAPO UTAKUWA NI WA WA TANZANIA!