Mnyika , Seif,na Francis Stolla kuunguruma LIVE joni hii Star TV

Asante kwa taarifa kaka nitawahi Star Tv maana suala la ukumbini limeshakuwa gumu
 
tatizo hii midahalo yenu hamuifanyii kwa walengwa na wananchi wa kawaida mnakimbilia mijini2,, haya yamalizeni wenyewe

Wanadhani Tanzania ni Dar,Arusha,Mwanza na miji kama hiyo tu.Wanasahau Tanzania ni pamoja na Godegode.Sukamahela,Idodyandole,Kalangase na vijiji kama hivyo.
 
si mmeona eeeeeeh!!!!!Mdahalo mwingine millenium tower, sijui kwetu chamazi itafika lini?????
 
Dah,GODEg0dE,MZAganza,munimsagara,hayo maeneo pia yanaitaj mdahalo
safi sana chatu
Wanadhani Tanzania ni Dar,Arusha,Mwanza na miji kama hiyo tu.Wanasahau Tanzania ni pamoja na Godegode.Sukamahela,Idodyandole,Kalangase na vijiji kama hivyo.
 
mdahalo utafanyikia dar es salaam, barabara ya azikiwe posta mpya kwenye jengo la BENJAMINI MKAPA. paradise hotel. itakuwa saa kumi na moja kamili hadi saa moja jioni hii ya leo. Mia
 
Wanadhani Tanzania ni Dar,Arusha,Mwanza na miji kama hiyo tu.Wanasahau Tanzania ni pamoja na Godegode.Sukamahela,Idodyandole,Kalangase na vijiji kama hivyo.
sure GT,TUNAHITAJI MIDAHALO IENDE MPAKA BUSHANGARO,KATOMA,SONGAMBELE,ILUGANZIRA,MBITIMBI NA KWINGINE!HAPO UTAKUWA NI WA WA TANZANIA!
 
sure GT,TUNAHITAJI MIDAHALO IENDE MPAKA BUSHANGARO,KATOMA,SONGAMBELE,ILUGANZIRA,MBITIMBI NA KWINGINE!HAPO UTAKUWA NI WA WA TANZANIA!

serikali yao haitaki wafahamu kinacho endelea kuhusu katiba ndo maana hata sheria imeshasainiwa. kwa atakaye onekana anaongelea hayo mambo adhabu yake ni kufungwa miaka 3. mia
 
vp wadau?mdahalo umeanza?wenye access na umeme na walioko kwenye mdahalo m2juze!manake huku wengine wameshatoa umeme wao
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom