Mnyika live ITV: Afafanua vipaumbele vya Chadema

Kwakweli Kijana Mnyika yuko vizuri sana kichwani, huyu ni hazina kubwa mno kwa Taifa, nimetazama mahojiano haya jana, kila alipo kuwa akiulizwa swali na mtangazaji Chuwa ambaye mwanzoni alikuwa a bit rude, alilijibu vizuri mno na kumalizia vyema kwa kuomba wananchi tuwape ridhaa watekeleze hayo yaliyomo kwenye ilani yao.

Ni ukweli usiopingika kwamba kutokana na mjaibu mazuri yasiyo teteleka hata mtangazaji Chuwa alijikuta akibadilika nakuanza kuuliza maswali yake kistaarabu tofauti na alivo anza,
Namalizia kwa kusema, Mnyika umenikuna, kura yangu ni kwa chamadema, na naamini kila mtanzania aliye angalia jana kipindi hicho kura yake atawapatieni ili mtekeleze hayo mliyo yaahidi.

Go go go Chadema and God bless you
Hata mimi namkubali sana huyu kijana JJ. Mnyika. yuko fiti kila idaraespecially upstairs ni briliant, Ubungu ameiteka kwa asilimia 80%

Jana nimemsikiliza kwa makini, ila pia Mtangazaji Stephen Chuwa alionyesha udhaifu fulani kama vile ameikubali Chadema, hivyo akamchongea Nyika leading questions hivyo Mnyika kujikuta anaserereka tuu kwenye mteremko. Kwa Chuwa ilitakiwa hata kama amaikubali Chadema na amemkubali Mnyika, alitakiwa aendelee kukaba mpaka kona, yeye amebana kidogo pale mwanzo, kishaa akaachia jumla M yika ndio akageuka mwendeshaji Chuwa akabaki kuwa msikilizaji.

More interactive programs kama hizi zinahitajika sana wakati huu kuliko wakati mwingine wowote.
 
Naibu katibu mkuu wa Chadema anaendelea kuhojiwa sasa hivi ktk televisheni ya ITV. Kwa jinsi anavyofafanua ilani ya Chadema na changamoto zinazoikabili taifa letu, na namna gani wao wakipewa nafasi ya kuongoza nchi hii watakavyotekeleza ilani yao....inapendeza sana! Naamini hata Kinana na mgombea wake wa Urais hawawezi kuelezea changamoto za kitaifa na namna ya kuzitatua kisayansi. Kama mpiga kura ktk jimbo la ubungo, ni wazi kura yangu itaenda kwa Mnyika!

Natamani ningekuwa naishi katika jimbo hilo lakini kwa bahati naishi Segerea! Basi kura yngu nitampa hata huyu Mpendazoe. Mnyika ni Mbunge wa ndoto yangu!!!!
 
Hii ndo sababu tosha kwanini CCM wamekimbia midahalo, kukimbia midahalo ilikuwa ni sababu tosha ya kuking'oa CCM lakini baadhi ya wadanganyika hawaelewi tu
 
Chuwa alibaki akimshangaa tu..kabla alionyesha kama mtu anayetaka kumshambulia Mnyika..
Hata CCM walioangalia kipindi hicho..walitingisha vichwa kazi Ubungo wanayo..
nawapa Pole ambao hawajaona aiseee Kaelezea vizuri saana WATU WA UBUNGO MPENI MNYIKA UBUNGE! Kijana amenikosha saana yule!
 
nawapa Pole ambao hawajaona aiseee Kaelezea vizuri saana WATU WA UBUNGO MPENI MNYIKA UBUNGE! Kijana amenikosha saana yule!

Sio kutupa pole tu jamani kwa wale walioweza pengine kuirekodi tunaiomba na sisi waungwana huku tunapate ladha yake. Naamini yeye mwenyewe anaweza kuwa na source yake atuwekee humu
 
Nitatamani kuisikia hiyo Interview,Kijana Mnyika yuko vizuri Jamani! Hivi Kinondoni Chadema wamemsimamisha nani?
 
Natamani ningekuwa naishi katika jimbo hilo lakini kwa bahati naishi Segerea! Basi kura yngu nitampa hata huyu Mpendazoe. Mnyika ni Mbunge wa ndoto yangu!!!!

karibu kimara nina nyumba namalizia kujenga, ina vyumba vitatu, vyote master kwa kuwa unamkubali Mnyika nitakupangishia kwa tsh 70,000
 
Ukimpelekea nyani kesi ya ngedere unategemea nini???????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
You guys know how to propagate!!!
 
Ukimpelekea nyani kesi ya ngedere unategemea nini???????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
You guys know how to propagate!!!

ze%20komedy%20jk.jpg
 
Chuwa alibaki akimshangaa tu..kabla alionyesha kama mtu anayetaka kumshambulia Mnyika..
Hata CCM walioangalia kipindi hicho..walitingisha vichwa kazi Ubungo wanayo..

Uelewa wa CHUWA ni mdogo sana kulinganisha na Mnyika, nafikiri ITV watakuwa wamejifunza next time mwanahabari wa kumhoji huyo dogo awe "Guru" ktk nyanja ya uandishi si vinginevyo, maana chuwa nilimuona akishangaa jinsi yule dogo alivyojibu na kupambanua ISSUES utadhani alikuwa Obama au OPRAH WINFREY.

Ama kweli CHADEMA VEMA
 
ze%20komedy%20jk.jpg

Hivi to do business with CCM ni lazima uvae vilemba vyao??? Mi sielewi Jamani hebu nisaidieni maana kila utakemwona anadeal na ccm utamkuta kavalia sare zao???

Please kama sio mdau show your strength Usikubali kudanganyika. Do your business get your Money songa front deal with other customers.

Hebu cheki masela hapa
z7.jpg

Ila kusema za ukweli Myika ni hatari amenifurahisha sana alivyokuwa akilink ilani na mambo ya uchumi, Jamii na mambo mengine. Chua alibidi aduwae maana akiuliza swali anapata details za kuvutia mpaka anajisahau utafikiri anasimuliwa hadithi ya kuvutia na anatamani ajue nini kitatokea baada ya hapo si unajue tena mambo hadithi we acha bana CHADEMA Tishio.

Baada ya Myika alionekana pia Askofu Zacharia Kakobe nadhani ilikua star TV. Jamaa mwanzo wa Mahubiri yake kuhusu Ugoni na kuchaguliwa kuwa raisi alikua anaogopa kuwaangalia waumini na Pia waumini walikua kama wamechanganyikiwa wakiwa hawaamini anachoongea Mchungaji wao Ila namsifu kwa Ujasiri Alioonyesha na reference alizoandaa maanakwa jinsi alivyokua akichambua ile mada na kutoa reference za wakeze Mandela, Zuma, Clinton, Obama na Yule Presda wa france Nicolas Sarkozy Waumini wakaanza kukamata channel na Mchungaji akawa ameshasoma nyakati akawa anawaangalia kwa ujasiri kisha akawatwanga pambio acha bana. It was a challenging task for Zacharia but yes He did and he managed to convey message to voters on what matters.

May God Bless You Bishop Zacharia Kakobe, Chedema contestant and Bless tanzania to realize the change we are waiting.
 
Nina video hiyo lakini sijui niipandisheje hapa JF. Any lead please?
 
Hiyo mi gay mimi naichukia akianani? Na hasa baada ya kumtosa yule fisadi nyangumi na kuhamia kwa fisadi papa. Siangalii kabisa program zao hivi bado wanakatika viuno eti?

Hao jamaa ni DESIGNING CENTER wee kubali au kataa. Komedi shoo yao imetulia, inaelimisha na pia inaburudisha. Chuki zako za kisiasa unataka kuzipeleka hadi kwenye burudani????, basi kazi unayo!!!
Angalia usije ukaacha kwenda kwenye msiba wa jilani eti kisa yee ni CCM. Kumbuka hizi ni kampeni tu za siasa na ni za muda tu, baada ya hapo maisha yataendelea kama kawaida.
 
ccm WAJIANDAE KUPOTEZA JIMBO LA UBUNGO HUWEZI KUMLINGANISHA NG'UMBI NA HON. MNYIKA .MNYIKA NI MBADALA WA DR. SLAA BUNGENI
TUMEMPATA RAIS MAKINI , MBUNGE MAKINI WHY NOT VISSION OF CHANGE??????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
VIVA FOREVER CHADEMA.:preggers:
 
Mnyika is very good kwa kweli, kwenye ile interview amefunika bovu ndio maana CCM wameingia mitini kwenye midahalo!
 
Hao jamaa ni DESIGNING CENTER wee kubali au kataa. Komedi shoo yao imetulia, inaelimisha na pia inaburudisha. Chuki zako za kisiasa unataka kuzipeleka hadi kwenye burudani????, basi kazi unayo!!!
Angalia usije ukaacha kwenda kwenye msiba wa jilani eti kisa yee ni CCM. Kumbuka hizi ni kampeni tu za siasa na ni za muda tu, baada ya hapo maisha yataendelea kama kawaida.
Shit!!!!!! niliwachukia hata kabla ya uchaguzi na sintakaa niwapende maana hamna burudani yoyote zaidi ya kutumikia mafisadi tu. Kuna somo gani kwenye maonyesho yao file? Nambie kwani ulishaona wana perform kuchukia kiwete ambaye anasifia mafisadi wenzie? to hell sina haja kabsa ya kuwaona ati baba yangu weee.

Endelea tu kudanganywa kwa nyimbo na ngonjera huku ukiimbiwa kama mwana mdogo anavyodanganywa kwa pipi na vinyimbo vya sungura na simba.
I say shittttttttttttttttt
 
Back
Top Bottom