jamani muwe mnatudokeza kidogo sisi tulio nje ya Tz. Huyo mama lazima ajutie uamuzi wake wa kugombea uspika kipindi hiki ambacho watu wameshafumbuka macho, hakuna kuzibwa midomo tena.
Bado wanahesabu kura. Lissu amelalama procedure zimepindishwa kidogo jina lilivyosomwa la Pinda kuna mahali kambi ya upinzani ilitakiwa kupata nafasi ya kuongea Makinda amefunika
Mambo kwelikweli. Naona mama anasema kuwa wakati tunasubiri matokeo, anaanza kuwasomea utaratibu wa mabasi 18/11/2010 kwa ajili ya kwenda Ikulu kumpongeza Waziri Mkuu......saa 2.30 asubuhi. Wasiwe na metal guagets kwa usalama.
Magari yote ya bunge yaegeshwe nje ya Bunge na yatalindwa na ulinzi wa Bunge
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.