Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

Mwingereza

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
1,113
2,751
Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni mfanya biashara.

Ninachoweza kuwataarifu ni kwamba, kuna mnyukano mkubwa sana ndani ya CHADEMA. Bila kumung’unya maneno, nasema wazi pasipo shaka kwamba, Mbowe amelambishwa asali na kuna mengi nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui kwa sababu maridhiano ni kati ya Mbowe, CCM na Samia. Ila Mbowe amekuwa “compromised”. Kama alivyofanya miaka yote, 2015 aliuza chama kwa Lowassa. 2025 Mimi na wewe hatujui yeye na Samia wamepanga nini!

Ila kwa waliomsikia leo akiwa Kigoma, Mbowe ameongea mengi sana, na kwa wajuzi wa mambo, watakubaliana na mimi kwamba, amemsifia Rais Samia kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya kuruhusu mikutano ya hadhara, kumwachia huru, na mengine mengi tu.

Kwa kifupi, Mbowe hataki kabisa mashambulizi ya moja kwa moja kwa Rais Samia. Kitendo ambacho kinazua maswali mengi yasiyokuwa na majibu ukizingatia Mbowe ni Mpinzani na hii inaleta ile dhana ya kulambishwa asali.

Kwa wanaofuatilia mitandao ya kijamii, nadhani mmeona Mwenyekiti wa CHADEMA akitumia Helicopter kwenye mikutano ya hadhara. Hii ni kitu kizuri kwenye jitihada zao za kukutana na wananchi.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu kwa upande mwingine, hana gari ya kutumia (anakodi gari kila siku kwa laki 2) kwenye ziara yake. Analipa kutoka mfukoni mwake, chama hakimlipii. Hata mafuta chama hakimpi.

Gari aliyopewa na ndugu yake imeharibika na inahitaji kiasi cha Tsh. 7million kuifanyia matengenezo. Kwa maana hiyo, Lissu Pamoja na wasaidizi wake wanajitegemea kwenye kila kitu. Kuanzia malazi, chakula, magari, mafuta na ulinzi. Na hii ndio sababu kubwa inayo mlazimisha Lissu kuomba michango kwa wananchi.

Jiulizeni kwa nini Mwenyekiti Mbowe anaruka na chopa wakati Makamu wake Lissu anaomba michango kwenye mikutano ya hadhara? Huu mgawanyiko ni hatari kwa hiki chama kikubwa kinapojiandaa kushiriki uchaguzi wa 2025. Kitendo ambacho kinatulazimu kufikiria kuwa Mbowe na Samia wameweka mkakati mahususi kwa mwaka 2025.

Itakuwa vyema Zaidi kama CHADEMA inayopokea ruzuku kutoka serikalini, kumpa makamu wake uwezo wa kuzunguka kukutana na wananchi. Ujumbe wa Lissu kwa wananchi ni ujumbe unaoeleweka.

Hotuba za Lissu zinagusa sana watu wa matabaka yote na kama inawezekana CHADEMA wamuwezeshe Lissu kifedha. Na hata hiyo helicopter, ingekuwa Mwenyekiti siku mbili, na siku mbili zingine apewe Lissu.

Fatilieni mikutano ya mwenyekiti Mbowe na Lissu. Kuanzia maandalizi hadi “Coverage.” Timu ya Lissu haina “Advance Team” kutokea alipo anza Morogoro wala haina watu wa media. Kwa upande mwingine Team ya Mbowe ina advance Team kubwa, watu wa media zaidi ya sita na walinzi zaidi ya watano. Lissu ana mlinzi moja ambaye amepewa na Chama chake.

Kama ni hujuma dhidi ya Lissu ambayo inawezekana ndio lengo, wananchi kwa mamillioni tuungane kumsaidia Lissu. Chochote kitakachotokea dhidi ya Lissu, Mbowe na team yake, wawe tayari kutoa maelezo, kwani mwenendo wao dhidi ya Lissu hauridhishi. Sina chama, ila Lissu ndiye kiongozi wa kitaifa aliyebakia anayefikisha ujumbe unaostahili kwa wananchi.

Ni dhahiri Lissu kama wengine (Heche, Wenje, Msigwa, Lema, Mnyika) ameshayakataa maridhiano ukisikiliza hotuba zake. Akiwa Morogoro alieleza wazi kuwa maridhiano hayaeleweki na CCM wamekataa kuweka makubaliano yoyote kwenye maandishi.

Ombi langu kwenu wadau: Msaidieni Lissu kifedha, hali na mali ili aweze kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu ufisadi unaoendelea, umuhimu wa katiba Mpya, Pamoja na Tume huru ya uchaguzi kwa wananchi.

Fuatilieni hotuba za Lissu na Mbowe. Tofauti ipo wazi na ni kubwa sana: wakati Mbowe anapoelezea mabadiliko aliyoyaleta Samia kama vile kumuachia huru na kuruhusu mikutano ya hadhara, Lissu anazungumzia ufisadi Pamoja na matatizo yanayo wakabili Watanzania.

Kwa kifupi Lissu anatoa elimu ya katiba Mpya na namna ya kuipata Tume huru ya uchaguzi. Wakati Mbowe anafanya siasa na kumsifia Rais Samia, bila kusahau Samia huyo huyo aliitangazia dunia kwamba Mbowe ni gaidi na kumuweka ndani takribani mwaka mzima.
 
Watajuana wao Kwa wao,kwani wakigawana fito au kupatana kwangu Ina faida au hasara ipi?

Maisha ya Mwandadamu ni kama huko msituni Kila mnyama ajipambanie upande aliko..

Kama wao Chadema ukisema Kuna mgawanyiko wanakana Sasa wewe ni nani Hadi uwahurumie?

Hao ni Wanasiasa wanapambania nyeo na future ya Watoto wao, familia zao ziko Nje ya Nchi Sasa Mimi nitoe rasilimali zangu Kwa Ajili ya nini hasa?

Mwisho chama kimetoa msimamo wa maridhiano ila wengine Hawataki Sasa ambao Hawataki si wajipambanie? By the way nimesikia wote wanasema hawataenda kwenye uchaguzi bila Katiba Mpya Sasa si ndio hitaji lao kuu ,hiyo kugawanyika inatokea wapi?
 
Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chadema. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni mfanya biashara.

Ninachoweza kuwataarifu ni kwamba, kuna mnyukano mkubwa sana ndani ya Chadema. Bila kumung’unya maneno, nasema wazi pasipo shaka kwamba, Mbowe amelambishwa asali na kuna mengi nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui kwa sababu maridhiano ni kati ya Mbowe, CCM na Samia. Ila Mbowe amekuwa “compromised”. Kama alivyofanya miaka yote, 2015 aliuza chama kwa Lowassa. 2025 Mimi na wewe hatujui yeye na Samia wamepanga nini!

Ila kwa waliomsikia leo akiwa Kigoma, Mbowe ameongea mengi sana, na kwa wajuzi wa mambo, watakubaliana na mimi kwamba, amemsifia Rais Samia kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya kuruhusu mikutano ya hadhara, kumwachia huru, na mengine mengi tu.

Kwa kifupi, Mbowe hataki kabisa mashambulizi ya moja kwa moja kwa Rais Samia. Kitendo ambacho kinazua maswali mengi yasiyokuwa na majibu ukizingatia Mbowe ni Mpinzani na hii inaleta ile dhana ya kulambishwa asali.

Kwa wanaofuatilia mitandao ya kijamii, nadhani mmeona Mwenyekiti wa Chadema akitumia Helicopter kwenye mikutano ya hadhara. Hii ni kitu kizuri kwenye jitihada zao za kukutana na wananchi.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Makamu mwenyekiti wa Chadema, Bw. Tundu Lissu kwa upande mwingine, hana gari ya kutumia (anakodi gari kila siku kwa laki 2) kwenye ziara yake. Analipa kutoka mfukoni mwake, chama hakimlipii. Hata mafuta chama hakimpi.

Gari aliyopewa na ndugu yake imeharibika na inahitaji kiasi cha Sh. 7million kuifanyia matengenezo. Kwa maana hiyo, Lissu Pamoja na wasaidizi wake wanajitegemea kwenye kila kitu. Kuanzia malazi, chakula, magari, mafuta na ulinzi. Na hii ndio sababu kubwa inayo mlazimisha Lissu kuomba michango kwa wananchi.

Jiulizeni kwa nini mwenyekiti Mbowe anaruka na chopa wakati Makamu wake Lissu anaomba michango kwenye mikutano ya hadhara? Huu mgawanyiko ni hatari kwa hiki chama kikubwa kinapojiandaa kushirik uchaguzi wa 2025. Kitendo ambacho kinatulazimu kufikiria kuwa Mbowe na Samia wameweka mkakati mahususi kwa mwaka 2025.

Itakuwa vyema Zaidi kama Chadema inayopokea ruzuku kutoka serikalini, kumpa makamu wake uwezo wa kuzunguka kukutana na wananchi. Ujumbe wa Lissu kwa wananchi ni ujumbe unaoeleweka.

Hotuba za Lissu zinagusa sana watu wa matabaka yote na kama inawezekana chadema wamuwezeshe Lissu kifedha. Na hata hiyo helicopter, ingekuwa Mwenyekiti siku mbili, na siku mbili zingine apewe Lissu.

Fatilieni mikutano ya mwenyekiti Mbowe na Lissu. Kuanzia maandalizi hadi “coverage.” Timu ya Lissu haina “advance Team” kutokea alipo anza Morogoro wala haina watu wa media. Kwa upande mwingine Team ya Mbowe ina advance Team kubwa, watu wa media zaidi ya sita na walinzi zaidi ya watano. Lissu ana mlinzi moja ambaye amepewa na Chama chake.

Kama ni hujuma dhidi ya Lissu ambayo inawezekana ndio lengo, wananchi kwa mamillioni tuungane kumsaidia Lissu. Chochote kitakachotokea dhidi ya Lissu, Mbowe na team yake, wawe tayari kutoa maelezo, kwani mwenendo wao dhidi ya Lissu hauridhishi. Sina chama, ila Lissu ndiye kiongozi wa kitaifa aliyebakia anayefikisha ujumbe unaostahili kwa wananchi.

Ni dhahiri Lissu kama wengine (Heche, Wenje, Msigwa, Lema, Mnyika) ameshayakataa maridhiano ukisikiliza hotuba zake. Akiwa Morogoro alieleza wazi kuwa maridhiano hayaeleweki na CCM wamekataa kuweka makubaliano yoyote kwenye maandishi.

Ombi langu kwenu wadau: Msaidieni Lissu kifedha, hali na mali ili aweze kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu ufisadi unaoendelea, umuhimu wa katiba Mpya, Pamoja na Tume huru ya uchaguzi kwa wananchi.

Fuatilieni hotuba za Lissu na Mbowe. Tofauti ipo wazi na ni kubwa sana: wakati Mbowe anapoelezea mabadiliko aliyoyaleta Samia kama vile kumuachia huru na kuruhusu mikutano ya hadhara, Lissu anazungumzia ufisadi Pamoja na matatizo yanayo wakabili Watanzania.

Kwa kifupi Lissu anatoa elimu ya katiba Mpya na namna ya kuipata Tume huru ya uchaguzi. Wakati Mbowe anafanya siasa na kumsifia Rais Samia, bila kusahau Samia huyo huyo aliitangazia dunia kwamba Mbowe ni gaidi na kumuweka ndani takribani mwaka mzima.
-Mbowe ameuza chama,(?)
-Mbowe amelamba asali,(?)
-Umefanya nao kazi muda mrefu,(?)
-Maridhiano ni kati ya Mbowe,CCM na Samia,(?)
-Una uhakika Mbowe ameuza chama,(?)
-Lakini,haujui,very emphatical way,HAUJUI,wamezungumza nini!
Mpaka hapo,unaonesha unaongozwa kwa hisia zako tu.Unaonesha ungependelea uone mambo kadiri ya mapenzi ya moyo wako.Acha unafiki.
 
Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni mfanya biashara.

Ninachoweza kuwataarifu ni kwamba, kuna mnyukano mkubwa sana ndani ya CHADEMA. Bila kumung’unya maneno, nasema wazi pasipo shaka kwamba, Mbowe amelambishwa asali na kuna mengi nyuma ya pazia ambayo sisi hatuyajui kwa sababu maridhiano ni kati ya Mbowe, CCM na Samia. Ila Mbowe amekuwa “compromised”. Kama alivyofanya miaka yote, 2015 aliuza chama kwa Lowassa. 2025 Mimi na wewe hatujui yeye na Samia wamepanga nini!

Ila kwa waliomsikia leo akiwa Kigoma, Mbowe ameongea mengi sana, na kwa wajuzi wa mambo, watakubaliana na mimi kwamba, amemsifia Rais Samia kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya kuruhusu mikutano ya hadhara, kumwachia huru, na mengine mengi tu.

Kwa kifupi, Mbowe hataki kabisa mashambulizi ya moja kwa moja kwa Rais Samia. Kitendo ambacho kinazua maswali mengi yasiyokuwa na majibu ukizingatia Mbowe ni Mpinzani na hii inaleta ile dhana ya kulambishwa asali.

Kwa wanaofuatilia mitandao ya kijamii, nadhani mmeona Mwenyekiti wa CHADEMA akitumia Helicopter kwenye mikutano ya hadhara. Hii ni kitu kizuri kwenye jitihada zao za kukutana na wananchi.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Makamu mwenyekiti wa CHADEMA, Bw. Tundu Lissu kwa upande mwingine, hana gari ya kutumia (anakodi gari kila siku kwa laki 2) kwenye ziara yake. Analipa kutoka mfukoni mwake, chama hakimlipii. Hata mafuta chama hakimpi.

Gari aliyopewa na ndugu yake imeharibika na inahitaji kiasi cha Tsh. 7million kuifanyia matengenezo. Kwa maana hiyo, Lissu Pamoja na wasaidizi wake wanajitegemea kwenye kila kitu. Kuanzia malazi, chakula, magari, mafuta na ulinzi. Na hii ndio sababu kubwa inayo mlazimisha Lissu kuomba michango kwa wananchi.

Jiulizeni kwa nini Mwenyekiti Mbowe anaruka na chopa wakati Makamu wake Lissu anaomba michango kwenye mikutano ya hadhara? Huu mgawanyiko ni hatari kwa hiki chama kikubwa kinapojiandaa kushiriki uchaguzi wa 2025. Kitendo ambacho kinatulazimu kufikiria kuwa Mbowe na Samia wameweka mkakati mahususi kwa mwaka 2025.

Itakuwa vyema Zaidi kama CHADEMA inayopokea ruzuku kutoka serikalini, kumpa makamu wake uwezo wa kuzunguka kukutana na wananchi. Ujumbe wa Lissu kwa wananchi ni ujumbe unaoeleweka.

Hotuba za Lissu zinagusa sana watu wa matabaka yote na kama inawezekana CHADEMA wamuwezeshe Lissu kifedha. Na hata hiyo helicopter, ingekuwa Mwenyekiti siku mbili, na siku mbili zingine apewe Lissu.

Fatilieni mikutano ya mwenyekiti Mbowe na Lissu. Kuanzia maandalizi hadi “Coverage.” Timu ya Lissu haina “Advance Team” kutokea alipo anza Morogoro wala haina watu wa media. Kwa upande mwingine Team ya Mbowe ina advance Team kubwa, watu wa media zaidi ya sita na walinzi zaidi ya watano. Lissu ana mlinzi moja ambaye amepewa na Chama chake.

Kama ni hujuma dhidi ya Lissu ambayo inawezekana ndio lengo, wananchi kwa mamillioni tuungane kumsaidia Lissu. Chochote kitakachotokea dhidi ya Lissu, Mbowe na team yake, wawe tayari kutoa maelezo, kwani mwenendo wao dhidi ya Lissu hauridhishi. Sina chama, ila Lissu ndiye kiongozi wa kitaifa aliyebakia anayefikisha ujumbe unaostahili kwa wananchi.

Ni dhahiri Lissu kama wengine (Heche, Wenje, Msigwa, Lema, Mnyika) ameshayakataa maridhiano ukisikiliza hotuba zake. Akiwa Morogoro alieleza wazi kuwa maridhiano hayaeleweki na CCM wamekataa kuweka makubaliano yoyote kwenye maandishi.

Ombi langu kwenu wadau: Msaidieni Lissu kifedha, hali na mali ili aweze kuendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu ufisadi unaoendelea, umuhimu wa katiba Mpya, Pamoja na Tume huru ya uchaguzi kwa wananchi.

Fuatilieni hotuba za Lissu na Mbowe. Tofauti ipo wazi na ni kubwa sana: wakati Mbowe anapoelezea mabadiliko aliyoyaleta Samia kama vile kumuachia huru na kuruhusu mikutano ya hadhara, Lissu anazungumzia ufisadi Pamoja na matatizo yanayo wakabili Watanzania.

Kwa kifupi Lissu anatoa elimu ya katiba Mpya na namna ya kuipata Tume huru ya uchaguzi. Wakati Mbowe anafanya siasa na kumsifia Rais Samia, bila kusahau Samia huyo huyo aliitangazia dunia kwamba Mbowe ni gaidi na kumuweka ndani takribani mwaka mzima.
Unaandika huo uongo kwa faida ya nani ?.
Nani anakulipa ?.
 
siasa itakupa kisukari mkuu
images%20-%202023-05-20T050801.611.jpg
 
Inaelekea wewe huijui chadema, na kwa hiyo huujui utofauti uliopo kati ya lisu na mbowe.
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo tofauti haikuanza leo, imekuwepo kwa muda mrefu sana, na sababu ni lisu kutaka kutumia influence yake kumpiku mwenyekiti wake, na mbowe kutaka kuonyesha who he is.
Btw, umewahi kuisikia ile hypothesis kuwa lisu alipigwa alipigwa risasi na wenzie ndani ya chadema, kama ilivyokuwa kwa Chacha Wangwe?
Lakini wewe pia umependelea upande mmoja, wa lisu, kwa hiyo tunajua upande gani umesimamia!
 
-Mbowe ameuza chama,(?)
-Mbowe amelamba asali,(?)
-Umefanya nao kazi muda mrefu,(?)
-Maridhiano ni kati ya Mbowe,CCM na Samia,(?)
-Una uhakika Mbowe ameuza chama,(?)
-Lakini,haujui,very emphatical way,HAUJUI,wamezungumza nini!
Mpaka hapo,unaonesha unaongozwa kwa hisia zako tu.Unaonesha ungependelea uone mambo kadiri ya mapenzi ya moyo wako.Acha unafiki.
Huyu ni mpumbavu, achana nae
 
Inaelekea wewe huijui chadema, na kwa hiyo huujui utofauti uliopo kati ya lisu na mbowe.
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo tofauti haikuanza leo, imekuwepo kwa muda mrefu sana, na sababu ni lisu kutaka kutumia influence yake kumpiku mwenyekiti wake, na mbowe kutaka kuonyesha who he is.
Btw, umewahi kuisikia ile hypothesis kuwa lisu alipigwa alipigwa risasi na wenzie ndani ya chadema, kama ilivyokuwa kwa Chacha Wangwe?
Lakini wewe pia umependelea upande mmoja, wa lisu, kwa hiyo tunajua upande gani umesimamia!
Mpumbavu mwingine huyu hapa
 
Akili za Wana CCM ni za kipumbavu mno, wanasikiliza na kusapoti chochote anachoongea Mwenyekiti wao, leo hii ule upumbavu wa kujiita Wazalendo huuusikii Tena, Leo ule ujinga wa kuita Vibaraka wa mabeberu umeisha, ule upumbavu wa kuwaita Chadema Agents wa Ushoga umeisha, WHY? Kwasababu mwenyekiti hajatamka.

Huwa najiuliza, wale wapumbavu wa CCM waliosema hakuna mikutano ya siasa Hadi Uchaguzi mkuu tena ndio Hawa Hawa wanaoshangilia na kupost mabango ya kumsifia mwenyekiti wao kama mpenda suluhu.

Yaani watu wale wale waliosema Tanzania haihitaji Katiba mpya Wala tume huru ya Uchaguzi ndio Hawa Hawa wanashangilia na kupost kuhusu ujio wa katiba mpya na tume ya uchaguzi.

Watu wa namna hii ni watu WAPUMBAVU sana, wanaoweza kutumia Bunge kumsifia Rais. Pathetic
images (44).jpeg
 
Inaelekea wewe huijui chadema, na kwa hiyo huujui utofauti uliopo kati ya lisu na mbowe.
Kwa taarifa yako ni kwamba hiyo tofauti haikuanza leo, imekuwepo kwa muda mrefu sana, na sababu ni lisu kutaka kutumia influence yake kumpiku mwenyekiti wake, na mbowe kutaka kuonyesha who he is.
Btw, umewahi kuisikia ile hypothesis kuwa lisu alipigwa alipigwa risasi na wenzie ndani ya chadema, kama ilivyokuwa kwa Chacha Wangwe?
Lakini wewe pia umependelea upande mmoja, wa lisu, kwa hiyo tunajua upande gani umesimamia!
Nasimamia maneno yangu. Kwamba, maridhiano ni ya Mbowe, Samia na CCM

Viongozi wote wa Chadema nilioongea nao, hawataki kabisa maridhiano wakiamini ni ujanja wa wa CCM kupoteza muda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom