Maji maji maji maji!!!!! Kimara hakuna!!!!!!!!!!
Naomba mwongozo wa Mnyika!
unamwuliza mnyika kwani yeye ndio anavuta hayo maji,mwulize JK.Kama kweli ulikua unataka maji ungempa mnyika na slaa sio mnyika na JK.
Maji maji maji maji!!!!! Kimara hakuna!!!!!!!!!!
Naomba mwongozo wa Mnyika!
Mkuu, kabla ya Mnyika kuna wabunge wangapi wa Chama cha Magamba waliowahi kuongoza Ubungo? Na ni wangapi wa CDM? Na hao Magamba wameongoza Ubungo kwa miaka mingapi? Na Mnyika kaongoza muda gani? Je, matatizo hayo yameibuka wakati wa Mnyika tu? Kama yalikuwepo tangu huko nyuma (na ni ukweli ndio maana hayajatatuliwa hadi sasa) nani tapeli, wabunge wa Mabwepande au Mnyika? Hivi kwa ku-post thread hii, unatumia kiungo gani cha mwili wako ktk kufikiri? Ni hayo tu Mheshimiwa, sasa naomba unijibu. Ahsante sana!

Huku Bonyokwa tuna hasira naye sana. Hata daladala zimeamua kuongeza nauli zikidai barabara ni mbovu na ukweli ni kwamba huku kuna makorongo na toka achaguliwe hajawahi kuonekana wala kufanya lolote. Hata diwani wake hajulikani alipo.