mnyika naye kachoka alianza moto karudi baridi hata kanuni za bunge zinamzingua sijui bungeni kafuata nini au kafuata kuomba muongozo,kutoa taarifa na kuhusu utaratibu.
watekaji na watembea na sumu ni akina lwakatare na s8
...Mmeajiriwa wengi mwezi wa nne!mnyika naye kachoka alianza moto karudi baridi hata kanuni za bunge zinamzingua sijui bungeni kafuata nini au kafuata kuomba muongozo,kutoa taarifa na kuhusu utaratibu.
ameomba bunge lipate uhuru wa kutosha kujadili matukio ya utekaji hapa nchini..bila kuathiri matukio yanayosubiri uamuzi wa mahakama..
spika amesema hayo mambo yameshatolwa ufafanuzi mara kadhaa hivyo bunge liendelee na taraibu na ratiba iliyopo mezani
Wanasiasa wengi mule bungeni hasa chadema ni bule kabisa hatuwezi kuendesha bunge kwa vurugu.
Mnyika nae alitegemea hao wauaji wakubali kujadili kuhusu mauaji yanayo wahusu?
Tanzania hatuna Spika bali tuna mama mmoja mcharuko kutoka Njombe.
Huyu mama hata ukimweka kwenye kinu na kumtwanga bado micharuko haitatoka.
Poor Makinda!!!
kama kweli watekaji wanatoka serikalini kama alivyodai sugu basi msitegemee hao hao maccm wakubali kujijadili ni lazima itafunikwa
machadema ndio pasua kichwa kabisa
Kwanini hamtaki haya matukio yajadiliwe? mnajua mtaumbuka kwa kuwa CCMndio watekaji,watesaji na wauaji.Humesikia leo nani alimuua kamanda Balo? yatowatokea puani mafirauni nyiemachadema ndio pasua kichwa kabisa
Kwa kawaida mtu mwenye uwezo mdogo wa kufikiri huwa inakuwa vigumu kumuelewa mtu mwenye fikra za juu kama za mheshimiwa Mnyika! ni sawa sawa na mtoto wa darasa la kwanza inavyokuwa vigumu kuelewa hisabati za darasa la saba. Pole sana kaka!mnyika naye kachoka alianza moto karudi baridi hata kanuni za bunge zinamzingua sijui bungeni kafuata nini au kafuata kuomba muongozo,kutoa taarifa na kuhusu utaratibu.
Spika hawezi kuruhusu wajadili mambo ya utekaji kwa kuwa wao ndo watekaji wenyewe,sasa sijui watajadili nini!
mnyika naye kachoka alianza moto karudi baridi hata kanuni za bunge zinamzingua sijui bungeni kafuata nini au kafuata kuomba muongozo,kutoa taarifa na kuhusu utaratibu.
ngoja watekwe wao ndiyo wataona uchungu.....