Mnyika ambana Kikwete nyumbani kwake

Serayamajimbo

Senior Member
Apr 15, 2009
191
38
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA John Mnyika amembana Rais Jakaya Kikwete nyumbani kwake Bagamoyo kuhusu utekelezaji wa ahadi za CCM za maisha bora kwa kila mtanzania, wanawake kuwezeshwa na ajira kwa vijana.

Mnyika alifanya hivyo wakati akimnadi mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA katika kata ya Magomeni kwenye halmashauri ya Bagamoyo ambapo alisema kwamba badala ya maisha bora wananchi wana maisha magumu kutokana na kasi ya mfumuko wa bei huku ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wa kike na wa kiume ukizidi kuongezeka.

Mnyika amewaomba wananchi kuchagua CHADEMA ili kazi ya kupambana na ufisadi na kutetea rasilimali za taifa kwa sera mbadala iendelee katika halmashauri hiyo ya Bagamoyo yenye tuhuma mbalimbali ambayo madiwani wake wote ni wa CCM.

Mara baada ya mkutano huo wananchi walimsindikiza Mnyika kwa miguu toka kata hiyo ya Magomeni mpaka ofisi za chama hicho za wilaya umbali mrefu kutoka mkutano uliopita ambapo mratibu wa kampeni za CHADEMA katika kata hiyo alitahadharisha rushwa iliyoanza kusambazwa na CCM katika kata hiyo.
serayamajimbo
 
....

...

Huyu kijana anaakili sana, aina hii ya vijana ndiyo tunaweza kupata viongozi bora!!!!

Siyo kijana anawaza uraisi tu kila siku uraisi tu!!!!

Ukururutu kwenye ubongo hadi usoni!!!

...

..

....
 
Hivi yule MGOMBEA wa URAIS kutoka LEKADU TIGITE yuko wapi...au yupo ziarani na MAMA MAKINDA.
 
Ukisoma michango mingine ya Pro-Chadema JF unabaki kucheka tu, hivi Mnyika ana uwezo gani wa kumbana Jk, wameshindwa viongozi wake Dr Slaa na Mbowe, Mnyika ndio ataweza endeleeni kujifariji na kujiliwadha.
 
mkurugenzi wa habari na uenezi wa chadema john mnyika amembana rais jakaya kikwete nyumbani kwake bagamoyo kuhusu utekelezaji wa ahadi za ccm za maisha bora kwa kila mtanzania, wanawake kuwezeshwa na ajira kwa vijana.

mnyika alifanya hivyo wakati akimnadi mgombea udiwani kwa tiketi ya chadema katika kata ya magomeni kwenye halmashauri ya bagamoyo ambapo alisema kwamba badala ya maisha bora wananchi wana maisha magumu kutokana na kasi ya mfumuko wa bei huku ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wa kike na wa kiume ukizidi kuongezeka.

mnyika amewaomba wananchi kuchagua chadema ili kazi ya kupambana na ufisadi na kutetea rasilimali za taifa kwa sera mbadala iendelee katika halmashauri hiyo ya bagamoyo yenye tuhuma mbalimbali ambayo madiwani wake wote ni wa ccm.

mara baada ya mkutano huo wananchi walimsindikiza mnyika kwa miguu toka kata hiyo ya magomeni mpaka ofisi za chama hicho za wilaya umbali mrefu kutoka mkutano uliopita ambapo mratibu wa kampeni za chadema katika kata hiyo alitahadharisha rushwa iliyoanza kusambazwa na ccm katika kata hiyo.
serayamajimbo

umeandika nini sasa..
Lakini sishangai,uamsho ndivo mlivo
ushabiki umewajaa sana..
 
Ukisoma michango mingine ya Pro-Chadema JF unabaki kucheka tu, hivi Mnyika ana uwezo gani wa kumbana Jk, wameshindwa viongozi wake Dr Slaa na Mbowe, Mnyika ndio ataweza endeleeni kujifariji na kujiliwadha.

Mfano Name of Mr Dhaifu.
 
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa CHADEMA John Mnyika amembana Rais Jakaya Kikwete nyumbani kwake Bagamoyo kuhusu utekelezaji wa ahadi za CCM za maisha bora kwa kila mtanzania, wanawake kuwezeshwa na ajira kwa vijana.

Mnyika alifanya hivyo wakati akimnadi mgombea udiwani kwa tiketi ya CHADEMA katika kata ya Magomeni kwenye halmashauri ya Bagamoyo ambapo alisema kwamba badala ya maisha bora wananchi wana maisha magumu kutokana na kasi ya mfumuko wa bei huku ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wa kike na wa kiume ukizidi kuongezeka.

Mnyika amewaomba wananchi kuchagua CHADEMA ili kazi ya kupambana na ufisadi na kutetea rasilimali za taifa kwa sera mbadala iendelee katika halmashauri hiyo ya Bagamoyo yenye tuhuma mbalimbali ambayo madiwani wake wote ni wa CCM.

Mara baada ya mkutano huo wananchi walimsindikiza Mnyika kwa miguu toka kata hiyo ya Magomeni mpaka ofisi za chama hicho za wilaya umbali mrefu kutoka mkutano uliopita ambapo mratibu wa kampeni za CHADEMA katika kata hiyo alitahadharisha rushwa iliyoanza kusambazwa na CCM katika kata hiyo.
serayamajimbo

Nina hakika kama haya anayoyafanya Mnyika yangefanyika Mwalimu akiwa hai lazima angefanya kila linalowezekana ampeleke hata HAVARD ili kukipika kichwa zaidi. Hili ni jembe bwana tuache uongo. Kazana bwana mdogo tupo nyuma yako.
 
ukisoma michango mingine ya pro-chadema jf unabaki kucheka tu, hivi mnyika ana uwezo gani wa kumbana jk, wameshindwa viongozi wake dr slaa na mbowe, mnyika ndio ataweza endeleeni kujifariji na kujiliwadha.

pro-chadema = pro-uamsho
ndio maana viongozi na wafuasi wao huishia rumande..
 
Ukisoma michango mingine ya Pro-Chadema JF unabaki kucheka tu, hivi Mnyika ana uwezo gani wa kumbana Jk, wameshindwa viongozi wake Dr Slaa na Mbowe, Mnyika ndio ataweza endeleeni kujifariji na kujiliwadha.
JK ana nini mbona alimuita Dhaifu na hakumfanya kitu acha ulimbukeni wewe gamba. Vipi ijumaa mnalianzisha wapi?
 
Ukisoma michango mingine ya Pro-Chadema JF unabaki kucheka tu, hivi Mnyika ana uwezo gani wa kumbana Jk, wameshindwa viongozi wake Dr Slaa na Mbowe, Mnyika ndio ataweza endeleeni kujifariji na kujiliwadha.
Mkuu vipi uchaguzi wa UWT... hukubaki unacheka.., angalia usije ugua ugonjwa wa chekelea.
 
Hivi Bagamoyo ni pale alipozaliwa yule mtoto ambaye kichwa chake ni nazi akawa rais ritz hata mtoto wangu anaweza kujenga hoja ya kumtoa kikwete ikulu.

Kwanini Chadema itumie nguvu kubwa kwa ajili huyo kichwa cha nazi kikwete.
 
Huu sasa ni ukosefu wa adabu. Imagine cdm wapate madiwani 3 kwenye nyumbani kwa Mkware si itazidi kudhiirika kuwa jamaa ni dhaifu.? CDM elekezeni nguvu huko Tanga, Dodoma na Singida ambako bado ni ngome ya ccm hizi kampeni za Ikulu ziwe za mwisho mwisho, heshima kitu cha bure.
 
Back
Top Bottom