Mnyama/mdudu gani unamuogopa/humpendi?

Hiyo ni kauli ya mtu ambae hajawahi kushinda. Kumbe na wewe umo aisee?
Kushindwa ni sehemu ya mchezo na sio kila kushindwa kunaonyesha kwamba u r weak ila kunakufanya uwe stronger zaidi
 
Anything crawling: mijusi hata ile ya ndani sijui. Chura niliacha kuogopa high skuli shauri ya kupasua. Ila reptiles wote kwa ujumla, kenge, kinyonga, mamba! I can imagine them crawling over my skin.
Kuna wale blood suckers weusi wako kama konokono, kwenye Rambo movie moja walimtambaa mwili mzima. Hao hata kuwaona kwenye tv staki japo sijawahi kukutana nao live.
Sina uhakika sana na huko unakoishi lakini mi nakumbuka wakati niko primary school walikuwa wa kawaida kabisa hasa kipindi cha mvua na unajua Dar mvua ikinyesha tu ni madimbwi. Akikung'ata huwezi kumvuta mpaka umchome moto au umpige kibao cha nguvu ndo anaachia ukimvuta anajita tu hatoki. Kiswahili anaitwa Ruba
 
Kuna wanyama wana mikia mbele. Hao ndio nawaogopa maana wapo tofauti na wanyama wenzao.
 
Mi napenda reptiles, niseme tu ukweli. when I was young (or younger... lol) nilikua na pet kinyonga for almost 4 years (a male)... alafu nilipoenda University nikashindwa kuenda nae nikamrudisha porini. Hata hivo najua ningesikitika sana kuiona ikifa (life spine ni 5 years).
Hao pets wengine balaa tupu nimeona wazungu wanakuwa na python eti pet kha! A gud thing ni kwamba mwisho wa siku huwa wanawaua wenyewe............some stuff are not meant to live with people bhana
 
Marehemu mama yangu alikuwa anaogopa jongoo balaa, akimuona mlangoni haingii ndani mpaka aone katolewa katupwa mbali kabisa
 
Back
Top Bottom