vp chavichavi a.k.a dudu washa linatisha sana pata picha likikutambaa kutoka miguuni mpaka JUU!Naogopa wale mende wanaoruka.. Huwa wananinyima amani kabisa!
haya mambo YA ID mbili mbili yamezidi sasa. ova
Mende jamani. Sio kwamba namuogopa ila nikimuona tu nasisimka. hata kumuua naona kinyaa... na panya, the same.
vp chavichavi a.k.a dudu washa linatisha sana pata picha likikutambaa kutoka miguuni mpaka JUU!
Ndio yupi huyo?
anami nakurushia nikiona unakuja na chumvi tena ukiwa umevaa skinny jeans akiingia humo raha!
panya kwa maana ya rat. sio kale kadogo kabisa, wala sio panya buku. panya tu... nikimuona tu kinyaapanya gani? Ata panya buku?
hehehehe, we badala ya kuja kunisaidia kuwamaliza unanialika kwako? una lako jambo, sio bure!Huko kwenye kibanda cha umwali ndio wapo hao, njoo kwangu hutawaona hata i promise
Si anaingilia huku kwa juu maana huwa pako luz kidogo
Hahahahaaaa hata vile vyeupe vya ndani ya nyumba?