Mnishauri: Elimu form four nataka nikasome ufundi mechanic U.S.A

My Mud

Senior Member
Oct 5, 2012
108
17
Kheri ya mwaka mpya wanajamvi.

Nina ndugu yupo U.S nataka niende huko ila napenda kama nikienda basi niende nikasome katika fani ninayoipenda yaani mechanics sasa sijui kwa elimu yangu itaewezekana au nibaki bongo tu nikasome VETA.
 
Wewe ni wa veta tuu katafute kitambaa cha blue ushonee suruali na shati jeupe kwa matumizi ya uniform. Maana hamna namna.
 
kheri ya mwaka mpya wanajamvi.

nina ndugu yupo U.S nataka niende huko ila napenda kama nikienda basi niende nikasome katika fani ninayo ipenda yaani mechanics.sasa sijui kwa elimu yangu itaewezekana au nibaki bongo tu nikasome veta.
Kusema tu una elimu ya form four haisaidii ata mwenye Zero nae ana elimu ya form four, weka kwanza matokeo yako ndio utapata ushauri
 
Kusema tu una elimu ya form four haisaidii ata mwenye Zero nae ana elimu ya form four, weka kwanza matokeo yako ndio utapata ushauri


div three ya 25 c tatu ya phy,bios na kisw mengine d.
 
Kama unaweza kupata admission kwenye colleges zinazotoa course unayopenda nenda.

Ina ningekusahauri usome Electrical and Electronics Engineering
 
Back
Top Bottom