Naomba mzitaje hapa for JF reference naanza na
1. Barabara za juu!
2.Tatizo la maji litakuwa historia hapa Dar
3. Lami kuunganisha Mara na Arusha kupitia serengeti
4.
Uwanja Mkubwa wa Ndege Misenyi
Uwanja Mkubwa wa Ndege Kigoma
Kupandisha Hospitali zote za wilaya kuwa za Mkoa, na za Mkoa kuwa za Rufaa
Kila alipoona maji aliahidi meli na boti
Bajaji 400 kwa ajili ya wajawazito.
Naona mkwere sijui ndio ameanza kutimiza ahadi zake,lile tuta la kimara stop over lilokuwa linaleta foleni kubwa isiyo kuwa na sababu limeondolewa usiku wa kuamkia leo na jamaa wa TANRODS.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.