Mtwara na siasa uchwara! Rais Samia wanakudanganya huku

Nurain

JF-Expert Member
Apr 28, 2022
2,264
4,998
Umofia Kwenu!

1. Mtwara haina stendi bali Ina bwawa la kufugia samaki! Ni aibu viongozi kushindwa kujenga stendi wakati ndio mkoa unaotoa billions of money kupitia korosho,gesi,ufuta,bahari nk.

2. Mtwara inaongoza Kwa kuwa na barabara zenye mashimo! Yaani Kila hatua kumi shimo hili hapa! Hivi viongozi hamjui kuwa chanzo Cha mashimo ni barabara kukosa mifereji ya kupitisha maji.

3. Mtwara ina uhaba wa maji yaani inaweza kupita wiki maji hayatoki wakati vyanzo vya maji vipo lukuki.

4. Mtwara ndio mkoa unaoongoza kufanyiwa siasa za maigizo.Viongozi wake ni kama hawajui wananchi wanataka nini!

5. Maafisa ardhi mnaacha watu wajenge kwanza ndipo mnaleta ramani .Hii migogoro ya majirani ninyi mtakuja kutusaidia kutafuta mawakili?

6. Toka uhuru mpaka leo hamjaweza kuunganisha Kwa lami wilaya zake!mfano mtwara-Tandahimba-Newala to masasi. Bajeti inayosomwa Kila mwaka inaenda wapi?

6. Viongozi wa kitaifa mmefikisha ziara zaidi ya 21 kwenda Kanda ya kaskazini huku kusini mkifanya ziara 1 tu.Maana yake ni kuwa mmeiacha kusini ijiendeshe yenyewe!

7. Mkuu wa mkoa wa Mtwara tembelea Kijiji Cha Mbae kata ya ufukoni: Habari za Hanang zinakuja kukikumba Kijiji Cha Mbae! Hivi kuchimba mitaro ya kupitisha maji kunawashinda nini au mpaka aje Rais??? Barabara ya Mbae mnaweka tope mbovumbovu yaani mkandarasi anashindwa kuweka kifusi Cha changarawe mnaweka matope! Ni aibu manispaa kuwa na barabara chakavu kiwango hiki!

Viongozi tokeni ndani ya vie8 Ili mjue hali za wananchi mnadhani sisi wananchi ni wajinga wa kudumu?

Siasa za Mtwara na kusini ni siasa uchwara viongozi oneni aibu kabla wananchi hatujaamka!

Mwandishi:
Ni mdogo wake TupaTupa Kwa Sasa yupo Chipuputa mkoani Mtwara.
 
Wasalimie Mangaka na Mtambaswala
 
MAMA ANAUPIGA MWINGI SIO!??
AU BASI CHADEMA WAMESABABISHA HIVYO.
 
Namba 2 ni uongo
 
Upuuzi wa kukusanya mapato na kuyatuma Dar, halafu mnasubiri mletewe pesa kutoka fedha ndio chanzo cha umaskini sehemu nyingi Tanzania, pesa kubwa itumike inapokusanywa na wananchi wawe na uwezo wa kuwawajibisha viongozi wao wa karibu kisheria, tuna utaratibu wa hivyo sana ndio maana kila siku CCM yanaimba mama katoa kumbe pesa zetu wenyewe
 
7. Mkuu wa mkoa wa Mtwara tembelea Kijiji Cha Mbae kata ya ufukoni: Habari za Hanang zinakuja kukikumba Kijiji Cha Mbae! Hivi kuchimba mitaro ya kupitisha maji kunawashinda nini au mpaka aje Rais??? Barabara ya Mbae mnaweka tope mbovumbovu yaani mkandarasi anashindwa kuweka kifusi Cha changarawe mnaweka matope! Ni aibu manispaa kuwa na barabara chakavu kiwango hiki!
Akili zimejaa matope pia usisahau
 
Hivi ukiacha barabara iendayo Kwa Mkuu wa mkoa kutokea bima au kutokea upande wa soko la chuno!barabara gani haina mashimo ndani ya manispaa.?
Anyway!
Tuache ma inayotoka bandarini, tuache na inayotoka AirPort, tuache na ya kule mikindani/pwani

Tuendelee kuacha na nyingine
 
Back
Top Bottom