Sory mkuu una undugu na kashinde au ni wewe umebadili jina
Sikuliona mkuu nadhani kipindi niko riarani **** mda sikuingia humu asante kwa ufafanuziKasinde is also know as Kasie.. . So Kasie is Kasinde and Kasinde is Kasie.. ..
Mbona nilishaweka bandiko hapa kuwa Kasie is back... hukuliona?
Watangazaji nao walikuwa wanapamba "Limoooooonga Jaaaastin Limooonga"Una umri gani?
Umewahi kuwasikia watu hawa?
1. Bokoman Mkongoman
2. Limonga Justin Limonga
3. Chidi chidi Chitenda
3. Wajadi Fundi
4. Mwalimu Mashaka Sabuni
5. Alafa Kapilima
6. Thomas Mushi Kimboka
Na Zakaria Ndemfoo wakiwa safarini kuelekea Mahuta Newala?
Hahahaa...utasikia ewe trump kwanini unawatesa waislmu??Kulikuwa kuna Jumanne Sebarua Tingisha, Mahoo John Nguma, Zakaria Ndemfoo....
Alafu kuna wale wanaotumaga maoni BBC Swahili...unakuta eti Mtu anampa ushauri Bashar Al Assad...sasa huwa najiuliza ujumbe huwa unafikishwa kwa walengwa?
Ahaahaaaaaaa halafu wanabidii kinomaKulikuwa kuna Jumanne Sebarua Tingisha, Mahoo John Nguma, Zakaria Ndemfoo....
Alafu kuna wale wanaotumaga maoni BBC Swahili...unakuta eti Mtu anampa ushauri Bashar Al Assad...sasa huwa najiuliza ujumbe huwa unafikishwa kwa walengwa?
Ahahahaaaaaaa hii nchi ina mbwembwe sanaHahahaa...utasikia ewe trump kwanini unawatesa waislmu??
Yupo na bony mbamba mtaalamu wa kuuza vioo mafiati mbeyaWapo wapi hawa watu jamani? Walitamba sana kunako anga za burudani kupitia miziki ya Dansi kwa kutajwa sana, na pia hata kwenye salaam za radioni wakati huo walitisha sana..
Wapo wapi siku hizi???
cc ChescoMatunda
Aisee, huyu mtu ulishapata mawasiliano yake?Ila Mimi mwenyewe namtafuta Frank MuBoss dreva ya waheshimiwa mjengoni atakayepata mawasiliano yake ani PM.
Hapana mkuu hao ni kipindi cha post cardHao akina Manka Mushi na Hussein Makabuleta wamekuja kipindi hiki cha salam kwa njia ya simu...
Mi nazungumzia enzi zileee za post kadi kipindi cha Jambo, Mchana Mwema, Salam za mchana, Shambani, na pole kwa kazi...