Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,110
- 37,645
Hao wananunua hela kwa nusu bei.Ushawahi kuiskia hii: "Tunanunua HELA MBOVU pamoja na DOLLAR"
Hii ni sauti inayosisika katika mijumuiko ya watu wengi, mf. vituo vya dala dala, sokoni, tena huwa wanutumia zile spika za koni. Wenzangu mnawaelewaje hawa jamaa!
Hasa si bora niende kuibadilisha mwenyeweHao wananunua hela kwa nusu bei.
Kea mfano una shilingi elfu 1 ambayo ni mbovu yaani inakataliwa dukani au sehemu yoyote ile, unawapelekea wao wanakupa sh 500.
Wao wakisha inunua wanaipeleka bank ikabadilishwe
Kama upo karibu na bank sawaHasa si bora niende kuibadilisha mwenyewe
Unaweza kufunga safari kutoka bunju kwenda bank kurudisha noti ya mia tano?Hasa si bora niende kuibadilisha mwenyewe
Inategemea na mtu ila mm cpo mbali kiasi hichoUnaweza kufunga safari kutoka bunju kwenda bank kurudisha noti ya mia tano?