Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,070
- Thread starter
- #21
Jamani kila m2 kwa raha zake na starehe zake kama cjalalamika unene wangu unanisumbua wewe tatizo lako ni nn?ila ahsante kwa ushauri,nikizaa pia nibaki vile vile eh?
Kuna mazoezi siku hizi dada yangu unaweza ukaenda gym mara 3 kwa wiki inatosha sana na uki limit chakula unachokula usiku kabla ya kulala na kuweka good timings na vile vile ukapunguza sukari na carbohydrates u will be fine.