Mnanenepa sana wadada

Umesema kweli kabisa. Kama figure aliweza kui-maintain wakati wa uchumba, na hata kabla ya hapo kwa nini ajiachie? hajui kua katika vitu vilikufanya umpende na hiyo figure ilikuwemo?
 
nani kakudanganya kuwa kuwa wenye vitambi hawana mvuto? Hujajua raha ya kitambi cha binti wewe... Sie wengine ndo ugonjwa wetu huo

hata mimi nashangaa wakati wengine tunapenda kweli manyama!
sema mnakuwa hamjui matumizi yake jamani!
 
Back
Top Bottom