mashambani kwao
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 370
- 56
nashukuru umenikumbusha.
Majivu tu? Hata mafuta ukitaka.
Wewe na uzuri wako huo ni mavumbi tu, na mavumbini hakika utarudi.
Come this way nikuombee.
Hahahaha.... Mate umeanza uchokozi. Niko kikazi zaidi hapa.Kiongozi hapa ulikuwa umeanza vizuri, imeendana na siku yenyewe.
Sasa mbona hapa tena umeshasahau, unataka kuanza ukaguzi kwa gia ya maombi!!:lol:
Ewaaa... now you are talking. Usisahau kuja na zaka na sadaka.hakika maneno yako ni sahihi,nakuja unifanyie maombi kabla sijarudia mavumbi
Hahahaha.... Mate umeanza uchokozi. Niko kikazi zaidi hapa.
Ewaaa... now you are talking. Usisahau kuja na zaka na sadaka.
Kufanya maombi na Wanamaombi ni vitu viwili tofauti!Kweli kiongozi naona uko kikazi zaidi, Lakini katoliki si bado hamjakubaliana na wanamaombi? sasa wewe huogopi kutengwa?
Bila shaka hawa unaotaka kuwafanyia maombi ni katika kukusanya waumini, si unajua siku hizi makanisa biashara!!
Thanks for reminding...lakini leo ndo siku njaa imeanza saa kumi na moja. Ila will go fasting because that is our pact with GOD.MMU SPECIAL.!! Kwa wale wenzangu wa RC nawatakia Jumatano njema ya majivu. Plz do'nt forget "Funga Jumatano ya majivu" Usile nyama siku ya Ijumaa Kuu. Siku njema
MMU SPECIAL.!! Kwa wale wenzangu wa RC nawatakia Jumatano njema ya majivu. Plz do'nt forget "Funga Jumatano ya majivu" Usile nyama siku ya Ijumaa Kuu. Siku njema
Muwahi jioni, mie nimepaka misa ya asubuhi.
Afadhali Padri kaniambia "tubuni na kuiamini injili"
Hiyo ya mavumbi inatisha zaidi
Ndio wahi church mapema
Kufanya maombi na Wanamaombi ni vitu viwili tofauti!
Kila binadamu anahitaji kufanya maombi kwa Mungu wake, na hii si institutional matter (kanisa)!
Maombi ni mawasiliano binafsi kati yA MTU NA MUNGU WAKE.
MMU SPECIAL.!! Kwa wale wenzangu wa RC nawatakia Jumatano njema ya majivu. Plz do'nt forget "Funga Jumatano ya majivu" Usile nyama siku ya Ijumaa Kuu. Siku njema
Alhamisi Kuu itakuwa tarehe 5 mwezi wa 4Niwaulize kwanza...
Hivi pasaka inahesabiwaje maana haina tar maalum mara mwez 3,4...