Wafuasi wa CHADEMA waendapo mikutanoni huvaa vizuri kama wanaenda Disco lakini CCM huvaa kienyeji kama wanaenda ngomani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno😂

Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.

Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.

Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion 😂😂

Nawatakia Siku njema!
 
Kata simu tuko site

F5-CfFjWcAA4mOU.jpeg
 
kwaihiyo unataka kumaanisha wengine ni broila wengine ni kienyeji right?
 
johnthebaddest Umeteleza kidogo!

Wananchi wanataka hoja na sera za kimaendeleo, wanataka kudikia muarobaini wa Ufisadi,Ubadhirifu,Uzandiki na Maovu kedekede yanayofanywa na serikali hii.

Na sio mavazi au sura za wanasiasa! Kwa sababu hayo hayawasaidii chochote watanzania kwa sasa.Utanashati tuwaachie hao wawakilishi wa "Vitu Maalumu".

Tunahitaji hekima za viongozi na sio tabasamu zao, iwe CCM au CHADEMA au kokote kule! Sura au Mavazi sio kigezo cha uanasiasa mahiri. Bali hizo zinaweza kibakia kama mbwembwe za majukwaani tu.

Siasa sio FIESTA! Siasa sio kupiga makelele jukwaani, Bali kutoa hotuba zenye maono pamoja na ufumbuzi kwa matatizo yaliyoko kwenye jamii husika.

Kinachotakiwa sio Utanashati bali ni "Nguvu za hoja" Busara na Hekima zikiongoza mijadala.

Sasa hivi tunachokiona ni vijembe majukwaani kuanzia CCM- Samia ...CHADEMA-Mbowe & Lissu.....ACT- Zitto na wale wengine wavizia teuzi na vyama vyao kwenye Briefcases.
 
Huu ni udhalilishaji!
Unampakizaje mtu kwenye trekta!!??
Nipo hapa Mkiu - Mkuranga,kuna canter imesimamishwa ikiwa na watu kibao wanaenda kuzika.
Sasa nimewauliza wana usalama ( maana wamemwagwa hapa wengi sana kwa ajili ya ujio wa Mh. Rais kesho), kuwa kwa nini hawa wanakamatwa wakati CCM ina kawaida ya kuwajaza wananchi kwenye mpaka matrekta na hawakamatwi,wamebaki wanacheka.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno😂

Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.

Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.

Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion 😂😂

Nawatakia Siku njema!
CCM tumeondokana na mitumba. tunawaachia mwanjo-mwanjo.
 
Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno😂

Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.

Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.

Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion 😂😂

Nawatakia Siku njema!

CCM = wakienyeji
CHADEMA = wakisasa

😂😂😂😂😂😂😂
 
johnthebaddest Umeteleza kidogo!

Wananchi wanataka hoja na sera za kimaendeleo, wanataka kudikia muarobaini wa Ufisadi,Ubadhirifu,Uzandiki na Maovu kedekede yanayofanywa na serikali hii.

Na sio mavazi au sura za wanasiasa! Kwa sababu hayo hayawasaidii chochote watanzania kwa sasa.Utanashati tuwaachie hao wawakilishi wa "Vitu Maalumu".

Tunahitaji hekima za viongozi na sio tabasamu zao, iwe CCM au CHADEMA au kokote kule! Sura au Mavazi sio kigezo cha uanasiasa mahiri. Bali hizo zinaweza kibakia kama mbwembwe za majukwaani tu.

Siasa sio FIESTA! Siasa sio kupiga makelele jukwaani, Bali kutoa hotuba zenye maono pamoja na ufumbuzi kwa matatizo yaliyoko kwenye jamii husika.

Kinachotakiwa sio Utanashati bali ni "Nguvu za hoja" Busara na Hekima zikiongoza mijadala.

Sasa hivi tunachokiona ni vijembe majukwaani kuanzia CCM- Samia ...CHADEMA-Mbowe & Lissu.....ACT- Zitto na wale wengine wavizia teuzi na vyama vyao kwenye Briefcases.
Samahani kwa kusema..una akili mgando🤣🤣🤣🤣

Jamaa anaongelea mavazi wewe sera.

Tangu lini ccm ina sera isiyomkomboa Mtanzania?

Huoni aibu kutetea chama kimeongoza miaka 62 lkn watu bado masikini wa kutupwa na ujings tele?
 
Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno😂

Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.

Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.

Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion 😂😂

Nawatakia Siku njema!
Ndio maana ya UCHAWA lazima uonekane ni mchafu kweli mbele ya mkoloni Samia. Chawa wa mama ni watumwa na watwana kamili. Vinginevyo hakuna posho. Ukoloni mambo leo, juu juu juu zaidi.,!
 
Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno😂

Kutana na hao Chadema sasa yaani hata kama hupendi Itikadi yao lakini swaga zao utazipenda.

Pale Meza kuu sasa utatamani upige picha na kila kiongozi.

Jamani Dunia ya Leo ni kwenda kwa fashion 😂😂

Nawatakia Siku njema!
CCM wanaletwa na malori, vumbi ni lao na kila kitu
 
Samahani kwa kusema..una akili mgando🤣🤣🤣🤣

Jamaa anaongelea mavazi wewe sera.

Tangu lini ccm ina sera isiyomkomboa Mtanzania?

Huoni aibu kutetea chama kimeongoza miaka 62 lkn watu bado masikini wa kutupwa na ujings tele?
Tena ndiyo tunazidi kuwa masikini haswa
 
Kweli kabisa ninaangalia hapa wanachama wa CCM hapa Lindi kwenye mkutano wamechoka kweli. Wengine wamelala fofofo.
 
Back
Top Bottom