Mmu nawatakia ashy wednesday njema

DA kwani ni RC tuu wanatakiwa kufunga bana
Hata wengine wanatakiwa kufunga
Na wewe uwe na mfungo mwema
 
DA kwani ni RC tuu wanatakiwa kufunga bana
Hata wengine wanatakiwa kufunga
Na wewe uwe na mfungo mwema

Jamani hata wewe kusoma hujui? Nimesema majivu kwa RC sio kufunga. Wakristo wanatakiwa kufunga. Mfungo mwema nawe
 
QUOTE=Dena Amsi;3367676]Jamani hata wewe kusoma hujui? Nimesema majivu kwa RC sio kufunga. Wakristo wanatakiwa kufunga. Mfungo mwema nawe[/QUOTE]

DA si ndo naanza chekechea
Ndo najua kusoma now
Asante kwa kututakia mfungo mwema aise
 
Hii thred ni nzuri sana, lakini naona tayari imeshaanza kuchakachuliwa. Kuna mpuuzi mmoja anadhani kila kitu ni chit chat. Mara fulani njoo huku, mara sijui nini. Tafadhali jiheshimu na uangalie unaandika nini, wapi na kwa wakati gani...!
Mfungo mwema!
 
Dena ukija na post kama hizi
we love you....

Watu mbona wachokozi hivyo wajameni????

Kwani mie nikoje huwa sisali au??? Mmmhhh ngoja ninyamaze zangu maana nitaambiwa nimekuwa mkali sasa hivi..............Mfungo mwema na msali kwa bidii, kusaidia wasiojiweza, kutembelea wagonjwa na matendo mema yampendezayo Mungu...............Leo ni siku ya pili ya mfungo
 
umesahau 'shangingi la jf' ni nani?lol
 
Nawakumbusha wakatoliki/wakristo kesho ni Jumatano ya majivu. Asanteni wapendwa katika Yesu
 
Dena Amsi asante sana kwa kutukumbusha aise
Dah kesho nikahudhurie ibada ya majivu kukumbuka kuanza kwa mfungo
 
Last edited by a moderator:
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom