Unabii wa Lema 2017: Tusitunge sheria kwa kuangalia Uzalendo wa Rais aliyepo Madarakani, anaweza baadae kuja Rais Kutoka Chadema akaamua Kuuza Nchi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,147
Wakati wa kupitisha Sheria mbili za Ulinzi wa Rasilimali za nchini bungeni mwaka 2017 Mbunge wa Arusha Mjini mh Lema alisema Wabunge Wawe waangalifu wasitunge sheria kwa kuangalia Uzalendo na umalaika wa aliyepo

Lema akasisitiza sheria Hizo mbili zinampa Madaraka makubwa Rais wa JMT kwenye Usimamizi wa Rasilimali na anaweza kuja Rais Mwingine hata kutokea Chadema akaitumia Kuuza Nchi

Bunge la sasa lililosheheni Wabunge wengi waliotunga sheria Hiyo sasa limeamua kukifanyia marekebisho

Wayahudi waliomshangilia Yesu na kumwimbia Hosanna siku ya Mitende ndio hao hao waliomshutumu kwa kuimba " asulubiwe asulubiwe" siku ya Ijumaa Kuu

Nawatakia Sabato njema 😀
 
Huu siyo kwamba ulikuwa ni utabiri wa Lema tu bali ni mambo yanayoonekana Tanzania; tulipofundishwa mkubwa akikosea wadogo wasimwoji ndipo shida ilipoanzia....tulipofundishwa kutowakosoa viongozi wa dini hata kama wanakosea ndipo Taifa lilipopotea;
 
Wakati wa kupitisha Sheria mbili za Ulinzi wa Rasilimali za nchini bungeni mwaka 2017 Mbunge wa Arusha Mjini mh Lema alisema Wabunge Wawe waangalifu wasitunge sheria kwa kuangalia Uzalendo na umalaika wa aliyepo

Lema akasisitiza sheria Hizo mbili zinampa Madaraka makubwa Rais wa JMT kwenye Usimamizi wa Rasilimali na anaweza kuja Rais Mwingine hata kutokea Chadema akaitumia Kuuza Nchi

Bunge la sasa lililosheheni Wabunge wengi waliotunga sheria Hiyo sasa limeamua kukifanyia marekebisho

Wayahudi waliomshangilia Yesu na kumwimbia Hosanna siku ya Mitende ndio hao hao waliomshutumu kwa kuimba " asulubiwe asulubiwe" siku ya Ijumaa Kuu

Nawatakia Sabato njema
Hoja yako mbona hairleweki mkuu , kwani sheria iliyotungwa imeweza kubatilishwa na raisi , kama imerudishwa bungeni , shida ipo wapi , na je sheria iliyotungwa kulinda mali asili ilikuwa mbaya , huoni ni jitihada za jpm kuweka hizo sheria ,tumlaumu aliyezitunga au anayezirudisha bungeni ili ziendane na matskwa ya DP
 
Back
Top Bottom