mmmhhh NDOA???

Watu uamua kuoa au kuolewa ili kupata watoto ... hayo mengine ni blah blah's tu!

Upendo wa dhati unapimwa vipi?
 
Hajaiba mtu lakini ndoa inanikera sana sijui kwanini niliolewa NAJUTA SANA................. (Mwanaume ana maudhi kama mkaanga sumu bana)
Kheeeee Kheeeee usije ukawa kama yule mwingine anayesema mume wake akiongea anasikia kichefuchefu wanawake mna mambo l.o.l
 
Hajaiba mtu lakini ndoa inanikera sana sijui kwanini niliolewa NAJUTA SANA................. (Mwanaume ana maudhi kama mkaanga sumu bana)

Imebidi niulize maana ulishanifanya na mimi nianze kumpenda.Rekebisha mambo bwana...
 
Ili ndoa iwe nzuri, yenye amani na upendo inatakiwa ijengwe kwenye misingi ya mambo mengi (inategemeana na ninyi wenyewe) lakini muhimu zaidi ni mapenzi mliyonayo kati yenu ninyi watu wawili na dini .:love:

1-Kutokana na Imani ya Dini tunafunga ndoa kwa vile tumeambiwa kuwa tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi, hivyo ni kama vile tunafunga ndoa ili kungonoana kihalali (usininukuu), hapa inawezekana kukawa na mapenzi au matamanio.

2-Kutokana na Imani hizo za Dini pia tunafunga ndoa ili kujenga familia bora inawezekana kusiwe na mapenzi.

3-Tunafunga ndoa ili kuwa na heshima mbele ya jamii (Africa zaidi) au kuondoa mkosi, hapa tutafunga ndoa bila mapenzi.

4-Tunafunga ndoa kwa vile tunalazimika kufanya hivyo kutokana umri, hapa vilevile mapenzi hakuna.

5-Tunafunga ndoa kwa vile tumeelewana kuwa kwenye uhusiano na kugundua tunapendana na kutaka kuishi maisha yetu yote pamoja (Kisasa).

6-Tunafunga ndoa kwa vile wazazi wanataka ufanye hivyo, hapa utafunga ndoa na yeyote atakaejitokeza bila mapenzi, nasikitika kusema tena kuwa hapa mapenzi hayapo.

7-Tunafunga ndoa kwa ajili ya kupata sifa, umeoa/olewa na mtu kutoka kabila/nchi fulani, mtoto wa fulani, mzuri, maarufu n.k. mapenzi hakuna.

8-Tunafunga ndoa kwa vile marafiki zetu wote wamefanya hivyo na wewe unahisi kuwa nio pekee umebaki bila mume/mke, hakuna mapenzi.

9-Tunafunga ndoa ili kupata msaidizi, iwe ni kupikiwa au kujikimu kutokana na ugumu wa maisha,
Daaahh
sante mpenzi ..
kila mtu anasababu zake na si lazima upendo wa
kweli. .. ooook
 
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya juu??

Ni kweli kwa baadhi ya wanandoa,lakin idadi ya ndoa hizo ni chache sana sana sana, ila ndoa nyingi zinafungwa ksb ya sababu walizotoa wanaJF , kwa mfano kama firstylady1 alivyosema hapa chini....

POSTED BY FIRSTYLADY1

1-Kutokana na Imani ya Dini tunafunga ndoa kwa vile tumeambiwa kuwa tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi, hivyo ni kama vile tunafunga ndoa ili kungonoana kihalali (usininukuu), hapa inawezekana kukawa na mapenzi au matamanio.

2-Kutokana na Imani hizo za Dini pia tunafunga ndoa ili kujenga familia bora inawezekana kusiwe na mapenzi.

3-Tunafunga ndoa ili kuwa na heshima mbele ya jamii (Africa zaidi) au kuondoa mkosi, hapa tutafunga ndoa bila mapenzi.

4-Tunafunga ndoa kwa vile tunalazimika kufanya hivyo kutokana umri, hapa vilevile mapenzi hakuna.

5-Tunafunga ndoa kwa vile tumeelewana kuwa kwenye uhusiano na kugundua tunapendana na kutaka kuishi maisha yetu yote pamoja (Kisasa).

6-Tunafunga ndoa kwa vile wazazi wanataka ufanye hivyo, hapa utafunga ndoa na yeyote atakaejitokeza bila mapenzi, nasikitika kusema tena kuwa hapa mapenzi hayapo.

7-Tunafunga ndoa kwa ajili ya kupata sifa, umeoa/olewa na mtu kutoka kabila/nchi fulani, mtoto wa fulani, mzuri, maarufu n.k. mapenzi hakuna.

8-Tunafunga ndoa kwa vile marafiki zetu wote wamefanya hivyo na wewe unahisi kuwa nio pekee umebaki bila mume/mke, hakuna mapenzi.

9-Tunafunga ndoa ili kupata msaidizi, iwe ni kupikiwa au kujikimu kutokana na ugumu wa maisha,(huu mtaazamo wanao sana wanaume)

WANANDOA WOTE KUTOKA NDANI YA MIOYO YAO WANAJUA KNN WAMEO/OLEWA, JAPO SIYO WOTE WANAWEZA KUONGEA UKWELI KUWA NI SABABU IPI HASA KUBWA ILIWAFANYA WAOE/WAOLEWE.
 
Dena mmh!! acha kukatisha tamaa wenzio wanaotaka kuingia ndoani..lol......kama kweli inakero kama unavyosema (japo sikubaliani na wewe 100%)
Mbona watu wanazifanyia sherehe kuubwa na furaha sana , kweli nyuma ya hizo sherehe kubwa kunakuwa na mategemeo ya kero kweli?
 
Back
Top Bottom