mmmhhh NDOA???

Mi naoa uzeeni nikioa tu nimejipiga kitanzi...nitakuwa naonana vp na nyie wapwa
Huku na huku naoa mke kama Lucy Kibaki nyie wapwa sijui kama mtakuwa mnakanyaga home achilia mbali mm manyanyaso nitakayo kuwa nayapata lakini umri ukiwa umekwenda aaah navumilia tu. Kwa sasa damu bado inachemka nahitaji kupata tuzo ya kuwa na watoto wengi.
Mpwa sasa wewe si una uvumilivu wa hali ya juu hata ukipata mwanamke sample kama ya MARTHA KARUA mbona safi tu wale wanaopenda kukwiba waumee za watu sidhani kama watatia maguu hata kwako halafu nafikiri wapwazz tutakuwa tuna advantage kubwa
 
Jibu la hilo swali ni NDIO halafu vile vile ni HAPANA kuna watu wengine wanaingia kwenye ndoa kwasababu ya upendo na utayari walionao hao wahusika wawili kuna wengine wanaingia kwenye ndoa kwasababu anakuwa ana malengo fulani mfano mdogo kuna msichana ambaye namjua yeye alisema wazi kabisa na alikuwa akiwaambia na marafiki zake kwamba "I'm getting married to this guy simply because of his wealth i don't love him that much i only want his money" sasa huu ni mfano mdogo katika ya mifano mingine mingi tu tumekuwa tukiona same trend kwa wanaume siku hizi pia.

Wapo wachache ambao wanaingia ndani ya ndoa baada ya kuona kuwa wako tayari kuanzisha familia lakini binadamu tunageuka leo hii unaweza kuona mtu huyu anakufaa sana na kabla ya ndoa akakuonyesha upendo wa ajabu ambao hakuna mtu aliyewahi kukuonyesha lakini mkiingia kwenye ndoa inakuwa tofauti kutokana na kwamba lengo lake hasa lilikuwa ni mali na fedha ulizonazo ndicho hasa alikuwa anakitaka na sio wewe.
Daaahh kwa hiyo
unachotaka kusema
hapa ndoa ni upofu
hujui unajiingiza kwenye nini
Mpaka uingie ndo utaona..
Mmmmhhhh
 
To me ndoa ni mpango wa Mungu,na kila kitu hutokea kwa wakati wake!mapenzi ya dhati,mvuto,tamaa,umaskini ni vijisababu tu vinavyofanya mwisho wa siku kufikia ktk ndoa,
Tatizo letu tunakosea kumshirikisha Mungu mwanzo ktk mahusiano na mwisho tunaanza kumlilia Mungu na lawama tele kwann hiki kwann kile,
Wengi wanasema kuolewa ni bahati lkn mm sidhani kama ni bahati,nani kabatika?mwanamke au mwanamme?kwa kipi?wengi wetu tumekuwa tukilazimisha au hata kutoa mifano"bby nimeona movie leo kuna watu wamefunga ndoa wamependeza na cc lini"or bby lini tutaoana while mwenzio hana hata mpango na ww yani kwake ww kwenye kumi bora haupo kabisaaaaaaaaaa,lkn trust me mda na wakati ukifika walaaaaaa hautauliza kila kitu kitaenda kwa uwezo wa Mungu.Its olny God who brings a person frm zero to hero.
 
Daaahh kwa hiyo
unachotaka kusema
hapa ndoa ni upofu
hujui unajiingiza kwenye nini
Mpaka uingie ndo utaona..
Mmmmhhhh
Hapana ndoa sio upofu ni baraka kutoka kwa Mungu ila kutokana na mambo yanayotendwa na baadhi ya wanandoa basi kila mtu akifikiria anaona NDOA NI TANURU LA MOTO lakini kama wewe na mwenza wako mnaelewa na kuheshimiana na katika kila jambo mnamtanguliza Mungu basi hiyo NDOA itakuwa na baraka zake takatifu kikubwa ni kwamba wengi wakiingia kwenye NDOA wanajisahau na wengine wanaota mapembe na kujiona ni bora kuliko mwenzake na kuanza kudharauliana
 
Hahahahahahahah
LiZZY NA TF
nawasoma tu
mnanichekesha sana daaahh
ningekuwa kwenye
Mtandao mkubwammmhhhh
 
hiyo ya upendo ni mojawapo
Wengine hupenda kuoa/kuolewa kwa kufwata maagizo ya vitabu vitakatifu vya Mungu
wengine hupenda kuoa/kuolewa kwa sifa hata kama hakuna mapenzi watu waone

Daaahh hiyo
ya kuolewa bila mapenzi
si hatari tu hapo mpendwa...
 
waheshimiwa
na wataalum wote
wa mambo ya mahusiano,mapenzi na urafiki

naombakuuliza ni nini au ni kitu gani
kinacho mfanya mtu kuoa au kuolewe?
Je ndoa zote ni matokeo ya upendo wa hali ya juu??

Ni hayoo tu
ps. ..maoni yote yana karibishwa
asanteni

ad


mkuu nasubiri nikaimu ndoa yako nitakuwa na jibu zuri zaidi
 
Back
Top Bottom