Tausi Mzalendo
JF-Expert Member
- May 23, 2010
- 1,471
- 722
Daahh
sante sana my dear
daahh umenichekesha eti
nataka kuolewa mmmhhh
mmhh mwenzangu mie kuolewa
Daahhh hiyo kitu naogopa
mie mwanaume aki propose na mwacha
tayari wawili mmhhh
Usiogope kuolewa. Pitia hicho kikombe ukiwa na imani utafanikiwa.
Kama kuna aliyekukwaza basi hesabu kama ni tukio peke na siyo tukio kawaida.
Mimi nilichoona hadi sasa ni kujitayarisha kwa lolote lakini nikiweka milango wazi
na kuombea mema.
Ndoa ni kitu kizuri. Wanaoingia wakitegemea raha tu bila karaha huishia kutaabika maana karaha inapowagusa
hawachelewi kuruka nje.