Mm nirubani wa ndege iliyopo mbele.
Mm nirubani wa ndege iliyopo mbele.
Mm nirubani wa ndege iliyopo mbele.
ni kikosi kazi 2878. wanafanya mazoezi. wamenipita hapa kwa juu speed maya.wameenda kukata kona zanzibar. watarudi sasa hivi. over
Wote kumbe mko nyuma ya wkt ktk ma'B/news! Hizo ndy ndege mpya za ATCL ilikua zifike jana lkn kw 7bu za kiitelejensia tukazichelewesha Source : David's Mattaka wife
Wanataka kuwaonyesha wanaharakati kwamba wapo na wapo tayali wakati wowote Rais akiwatuma kazi, kuuwa watu walioambiwa wasiandamane kwasababu watauawa na Al-shababzinazuia mikusanyiko
nimeshuka![/QUOTE]
rubani mwenye kifafa,......