Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,610
ahahaaa umenikumbusha mzee mmoja alikuwa rubani kijijini kwetu ndege ikipita wazee wote macho juu wanasema kijana hata kutupungia hataki we mwache tu ata akifa hazikwi hapaMm nirubani wa ndege iliyopo mbele.