POPOBAWA anapita anaelekea MMU.
haiwezekani mtu asome comment huku ameshikikilia makagare. mia
wewee mimi popobbawa siogopi jeansTumeshavaa majeanz
mwali ..nataka nikuoeWe ulitaka tujadili nini huko MMU?
ikifika weekend mambo yote chitchat
kule story nyingi za kutunga
kule story nyingi za kutunga
Mie MMU ndo mpango mzima, chitchat mpango wa kando!!
kule story nyingi za kutunga
Hahahahah......nimegundua sahv natembea na topaz mpyaa mfukoni!!Tumeshavaa majenz
Yap! Hiyo ndiyo dawa yake labda ende Uzini akawashughulikie!!