Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
Nipo poa kabisa SL....mimi iko kukumiss tu hapa!!Poa kabisa Rejao... Wewe je?
Nipo poa kabisa SL....mimi iko kukumiss tu hapa!!Poa kabisa Rejao... Wewe je?
Try me uone,MMU, kule wote wanajuana sisi wageni ukienda uko wanakupita tu, kule kuna watu wameona kabisa, wengine mawifi, mashemeji, shangazi, mjomba, hata ukijipendekeza vipi hakuna anaekujali aisee!
Subiri..... ngoja....!Na ufanye upesi manake tumechoshwa sana na hawa watoto wa form two B na story zao za uongo... Okoa jahazi ODM!
Wiselady full of Groceries....!:juggle:Salaam ODM,umejaa neema na Bwana yu nawe...
Afu uache tabia ya kuzima simuWiselady full of Groceries....!:juggle:
Ndio nini hicho na kwa lugha gani?