Mliowahi kuamka asubuhi na kukuta hali hii naombeni ushauri!

UMUNYU

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
685
484
Hali hii isiyo ya kawaida hutokea usiku mtu ukiwa umelala! Unapoamka unakuta mikwaruzo hiyo hasa tumboni, shingoni, mapajani, kifuani au mgongoni!! Husababishwa na ninini?

Maana inawasha balaa! Naombeni majibu muafaka! Nimeweka picha!!
MIKWARUZO.jpg
 
Hakikisha usafi wa kucha zako
oga vizuri kabla ya kulala
Hakikisha unapolala ni pasafi na hakuna wadudu( Mbu, kunguni, papasi nk)
Hii itasaidia kuepuka kujikuna usiku

Ikiendelea basi ujue kuna shamba la miiba unaendaga kulima usiku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom