mliokunywa kikombe kwa babu

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
jamani tahadhari hii hapa,
wote mliokunywa kikombe kwa babu na kuacha kutumia dawa zenu yanaweza kuwakuta makubwa,
nina rafiki wa karibu alikuwa anatumia ARV alivyorudi kutoka kwa babu akaacha kutumia dawa zake,
kwa taarifa ugonjwa umerudi kwa kasi ya ajabu na kumtoa roho!
tahadhari chukua hatua!
 
Rose Babu atakuona nuksi unamuharibia soko,ivi babu saahizi si mapesa kem kem,manake walivyokua wanakanyagana huko Loliondo.
 
huyu dada mume wake alifariki mwaka 1996 na alikuwa anatumia arv mpaka alipoenda kwa babu
baada ya kurudi aliacha kutmia arv
yaani ugojwa ulikuja kama kimbunga na kuondoka naye
hili naliweka hapa uchague mwenyewe
 
jamani tahadhari hii hapa,
wote mliokunywa kikombe kwa babu na kuacha kutumia dawa zenu yanaweza kuwakuta makubwa,
nina rafiki wa karibu alikuwa anatumia ARV alivyorudi kutoka kwa babu akaacha kutumia dawa zake,
kwa taarifa ugonjwa umerudi kwa kasi ya ajabu na kumtoa roho!
tahadhari chukua hatua!
Taarifa zako si za kuaminika!
Ninafanya kazi na aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi na baada ya kunywa dawa ya babu amepona!
Kwa magonjwa mengine apart from ukimwi ndio karibu ofisi nzima wamepona na wameachana na mambo ya madawa haya conventional!
Babu endelea na kazi, watu wananusurika na kukwepa kaburi!
Mungu akupe siku!
Wanaokubeza hakika wameshindwa!
 
paka jimy hii issue ni mtu yupo karibu na mimi kabisa,lakini hapa natoa kama habari iliyopo,siwezi kudanganya
 
jamani tahadhari hii hapa,
wote mliokunywa kikombe kwa babu na kuacha kutumia dawa zenu yanaweza kuwakuta makubwa,
nina rafiki wa karibu alikuwa anatumia ARV alivyorudi kutoka kwa babu akaacha kutumia dawa zake,
kwa taarifa ugonjwa umerudi kwa kasi ya ajabu na kumtoa roho!
tahadhari chukua hatua!
hao wako wengi sana...hasa hawa wa kisukari...Kwa Babu giza wakuu
 
Taarifa zako si za kuaminika!
Ninafanya kazi na aliyekuwa mgonjwa wa ukimwi na baada ya kunywa dawa ya babu amepona!
Kwa magonjwa mengine apart from ukimwi ndio karibu ofisi nzima wamepona na wameachana na mambo ya madawa haya conventional!
Babu endelea na kazi, watu wananusurika na kukwepa kaburi!
Mungu akupe siku!
Wanaokubeza hakika wameshindwa!

Una uhakika na unacho kisema?
 
PJ...mimi nina ndugu zangu watatu wanangoma wamekunywa hiyo dawa ya babu hakuna kitu...hivyo hivyo wa kisukari hakuna kitu...kuna majirani wawili tumewazika walikuwa na kisukari walipo kunywa dawa ya babu wakaacha kutumia dawa...
 
huyu dada mume wake alifariki mwaka 1996 na alikuwa anatumia arv mpaka alipoenda kwa babubaada ya kurudi aliacha kutmia arvyaani ugojwa ulikuja kama kimbunga na kuondoka nayehili naliweka hapa uchague mwenyewe
Awali ya wote! Pole sana msiba ulio kupata. Ila hakika Babu anawaambiwa wa2 ya kwmb kama unatumia dawa yoyote usiache ku2mia hata km umepatata kikombe.
 
kwa babu watu wanapona ila wanaporudi wanaanza kutumia kwa fujo vyakula ambavyo hawakuwa wakitumia hasa wa sukari hivyo tatizo linajijenga upya bila kujua ndiyo wanachapa lapa
 
Jamani Kwa kuwa tuko kwenye jukwa la teknoloa na sayansi tujadili kisayansi.

Je dawa ya babu chemical content zake na composition ni nini? Nitafurahi kufahamishwa.

Rosmarie

Ukiwmi hauuui. Ukimwi unadhoofisha kinga za mwili. Inawezekana rafiki yako kafa kwa mafua au TB au malaria teh teh teh . So walitakiwa waache ARV wandeleee na dozi nyingine. ukiondoa ile ya kitandani. Lol dont take this seriously.
 
imeandikwa kuwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa!!

poleni wafiwa, Mungu yupo atatunusuru na hawa wajasirimali!

Glory to God!
maarifa yapi hayo?, wajasiriamali wapi hao, wale wanaotengeneza ARV's ?
Hope is a wonderful thing kwahiyo kama hawa wajasiriamali wanawapa watu hope who are we to say otherwise
Nadhani pia imeandikwa kwamba mtu siku zako zikifika basi utakufa so how can we argue kwamba wasingeacha kutumia ARV's wasingekufa?
 
Sikio la kufa, halisikii dawa, kikombe cha babu wa loliondo kinaongeza nguvu ya virus, na vinakuwa havisikii tena dawa, tutawasikia wengi sana wakipukutika, na watapukutika kweli.
 
  • kwa maana nyingine itasaidia kupunguza gharama ya matibabu na ARV. cost saved = profit teh teh teh
  • uzuri mwingine kama ni weli wanapukutika inaweza kuwa nafuu maana asometime ARV zinawafanya wafe katika mateso ya hali ya juu ndhani ya muda mrefu. Kiteknolojia tunasema to die gracefully without too much torture
 
Ah ah ah ah, subiri PakaJimmy akusikie.
 
Sikio la kufa, halisikii dawa, kikombe cha babu wa loliondo kinaongeza nguvu ya virus, na vinakuwa havisikii tena dawa, tutawasikia wengi sana wakipukutika, na watapukutika kweli.
Acha upotoshaji Mkuu!
MNH na NIMR wenyewe walifanyia utafiti dawa ya babu na kulihakikishia taifa kuwa haina madhara!
Usilete mkanganyiko kwa watumizi wa dawa bana!
 
Back
Top Bottom