Msingi Namba 1 Kwa Yeyote Anayeanza Kuwekeza Kwenye Ardhi Au Majengo

Aliko Musa

Senior Member
Aug 25, 2018
156
240
Utangulizi.

Kuanza kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo imekuwa ni safari ndefu sana. Kwa wengine, imekuwa ni safari ya miaka mitatu. Kwa wengine, imekuwa safari ya miaka mitano. Na wengine huchukua miaka kumi (10). Ndiyo, hicho ni kipindi ambacho mtu hujiandaa kuanza umiliki wa ardhi au majengo.

Rafiki yangu, wengi wetu tunafahamu kuwa uwekezaji kwenye ardhi na majengo ni moja ya uwekezaji wenye kutajirisha sana sana. Ukweli huu unafahamu miaka na miaka.

Pengine hata wewe rafiki yangu utakubaliana na mimi kuwa babu wa babu yako alisisitiza watu wamiliki ardhi au majengo kwa lengo la kujitajirisha.

Kwa bahati nzuri sana wengine wamefikisha umri wa zaidi miaka sitini (60) na hawana umiliki wa nyumba moja tu ya kuwaingizia angalau laki tatu (300,000) kwa mwezi.

Tunafahamu kuwa ardhi na majengo ni njia mojawapo ya uhakika ya kujitajirisha. Ukweli huu rahisi unaweza kuwa ni kikwazo kwa sababu sio siri. Sio siri kwa sababu tumekuwa tukiambiwa tangu utotoni.

Sisi binadamu ni watu wa kushabikia fursa mpya. Ingawa wakati mwingine fursa mpya zinakuwa sio fursa kwa sababu zinatutoa kwenye lengo la kutumia njia tuliyochagua ya kujitajirisha.

Rafiki yangu mwanachama wa makundi ya TZ REAL ESTATE TEAM, ninafurahi kuona wewe na mimi ni familia moja. Familia ambayo tumechagua kujifunza maarifa sahihi kuhusu uwekezaji kwenye ardhi na majengo.

Familia ambayo tumechagua kutafuta taarifa sahihi na kushirikishana taarifa hizo ili tulifahamu soko mahalia kwa undani zaidi.

Familia ambayo tumechagua kusaidia kwa kadiri tuwezavyo pale tunapokutana na changamoto katika safari ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.

Mimi rafiki yako Aliko Musa, mbobezi majengo, ninakushirikisha msingi namba 1 unaotakiwa kufanyia kazi ili uweze kuanza uwekezaji kwa mafanikio makubwa. Msingi wenyewe ni fokasi.

FOKASI.

Fokasi ni kuchagua mtaa mmoja na kuacha mitaa mingine wawekezaji watu wengine. Fokasi ni kujenga timu bora sana kwenye mkoa mmoja au wilaya moja na kuacha mikoa/wilaya zingine wawekezaji watu wengine.

Fokasi ni kuchagua njia/mbinu moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo mpaka kupata mafanikio ya kuweza kukuza njia nyingine.

Fokasi ni kuchagua aina vigezo fulani vya kupata kiwanja au nyumba inayolipa bila kutamani viwanja vingine ambavyo havina vigezo vyako vya kiuwekezaji.

Fokasi ni kutokubali kumiliki viwanja au majengo nje na mpango biashara ulioandaliwa na timu yako ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.

Fokasi ni kutumia ardhi na majengo kujitajirisha na kuacha njia nyingine zitumiwe na watu wengine.

Fokasi ni kuchugua na kulisimamia jambo moja mpaka likamilike bila kuacha. Fokasi ni kudumu kwenye mchakato wa kujenga mtandao bora sana (hasa mtandao mahalia) katika kipindi chote cha uwekezaji kwenye ardhi na majengo.

Hii ni kwa sababu, bahati ya kupata viwanja au majengo yanayolipa sana hutegemea sana mtandao sahihi ulionao. Fokasi ni kuchagua kuwekeza nguvu zako na muda wako kwenye mambo ambayo unayafanya kwa ubora sana na kuacha mambo mengine wafanye wanatimu wako mahalia.

Fokasi ni kuchagua kumiliki nyumba nyumba chache ambazo hutengeneza kiasi kikubwa cha kipato endelevu na kuacha nyumba za kipato cha kawaida wamiliki wawekezaji wengine.

Fokasi ni kutafuta na kuchagua mashamba yanayoingiza kiasi kikubwa cha kodi kwa kila mwezi na kuacha wengine wamiliki mashamba ya kodi za viwango vya kawaida.

Fokasi ni kuendelea kukusanya mtaji fedha kwa ajili ya kuanza kununua, kuendeleza na kuuza viwanja bila kuanzisha biashara nyingine katikati ya mchakato wa ukusanyaji wa mtaji fedha.

Fokasi ni ............ Niandkie kwa maneno yako hapo chini. Ninaamini tutakuwa tumeelewana kuhusu maana ya fokasi.

Dondoo Muhimu Kuhusu Fokasi Kwenye Ardhi Na Majengo.

Dondoo namba 1.

Kwa miaka mitatu (3) ya mwanzo unahitaji kuweka fokasi kwenye maeneo mawili:

✓ Fokasi kwenye wilaya (jimbo) moja tu.

✓ Fokasi kwenye njia moja ya kutengeneza fedha. Mfano; kununua na kuuza viwanja.

Dondoo namba 2.

Jiwekee ukomo wa kufanya dili.

Unaweza kuamua kununua na kuuza miradi minne tu kwa mwaka mmoja. Hii ina maana mradi au projekti moja ikamilike ndani ya miezi mitatu.

Inafaa zaidi kuwa na miradi miwili tu kwa kila mwaka kwa miaka mitatu ya mwanzo. Hii ni ile miradi yenye kukupa kiwango kikubwa cha faida.

Ni afadhali kutengeneza milioni kumi (10) kutoka kwenye miradi miwili kuliko kutengeneza milioni kumi (10) kutoka kwenye miradi minne (4) kwa mwaka mmoja.

Dondoo namba 3.

Usiingiwe na tamaa ya kumiliki viwanja vingi kwa wakati mmoja bila kuwa na mpango wa kutengeneza fedha.

Dondoo namba 4.

Usinunue ardhi au nyumba bila kuwa na timu mahalia.

Ujenzi wa wanatimu mahalia ni hatua ya mwanzo kabla ya kumiliki ardhi au majengo kwa ajili ya uwekezaji. Jambo hili ni la lazima kwa yeyote anayetaka kumiliki ardhi au majengo yanayolipa.

Dondoo namba 5.

Nguvu ya soko moja.

Unahitaji kuwekeza katika ardhi au majengo ya wilaya moja kwa miaka ya mwanzo. Lakini utahitaji kuongeza wilaya zingine kwa sababu ya kutawanya uwekezaji. Huwezi jua changamoto inayoweza kuikumba wilaya unayowekeza miaka 20 ijayo.

Darasa la jumatano ya leo linaishia hapa. Nakaribisha maswali, nyongeza, maoni, na kadhalika.

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Mbobezi majengo.

Whatsapp: +255 752 413 711
 
🙏🙏🙏
 
Nondo sana hizi ngoja nisome taratibu
 
Back
Top Bottom