Mlinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Yule Afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi (mpambe) wa Rais (ADC).Wasaidizi wengi wa Marais wa Tanzania wametokea JWTZ lakini wakati wa Rais Nyerere aliwahi kuwa na ADC kutoka Jeshi la Polisi.
Marais wengine wa nchi wanakuwa na ma-ADC lakini wanatumika kwa wakati maalum tu. ADC pia ni kielelezo cha mamlaka ya Rais na Uamiri Jeshi.
Wengine wanaomzunguka Rais ni walinzi. Kazi yao ni Ulinzi wa Rais. Kiongozi wa Walinzi wa Rais (Detail Leader) kwa nyakati tofauti husimama nyuma ya Rais upande wa kushoto na umbali usiozidi urefu wa mkono. Huyu ndiyo anayeongoza walinzi wengine.Walinzi wa Rais mara nyingi huvaa nguo zinazofanana (Safari Suits,Western Suits) na mara nyingi nguo zao hulandana sana na wanayemlinda.Idadi yao hutegemea hadhira,urari wa usalama n.k.
Walinzi wa Rais hubeba silaha ndogondogo (Bastola) lakini silaha za kadiri(SMG's) haziwi mbali sana na wao. Kumbuka kazi ya msingi ya walinzi si mapigano bali ulinzi wa Rais.Kwa hiyo likitokea shambulizi kazi ya kwanza ya DL ni kumweka Rais kwenye mazingira salama kisha kutoa malelekezo kwa wenzake.Wenzake kazi yao ni kuwakinga(Rais na DL) kwa kuwazunguka(shield), kuziba milango(kama ni chumba) na kushambulia (ikibidi) huku wengine wakiratibu usafiri wa kwenda sehemu salama(Ikulu,Ikulu ndogo,Nyumba ya Wageni ya Serikali n.k.).
 
mkuu umeñikosha
 
Rais hawezi kuchagua mlinzi.anashauriwa kwa wasifu kutoka ktk idara.anaweza kuwa hana ndugu wa karibu ktk kikosi na akapata watu safi.kama mnakumbuka kikosi cha jk kiongozi alitoka mbozi,mlinzi mnyakyusa,ADC mhehe

neba umeulizwa huyo jk wako ni Julius Kambarage? Jakaya Kikwete au Jomo Kenyatta?
 
Last edited by a moderator:
Yule Afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi (mpambe) wa Rais (ADC).Wasaidizi wengi wa Marais wa Tanzania wametokea JWTZ lakini wakati wa Rais Nyerere aliwahi kuwa na ADC kutoka Jeshi la Polisi.
Marais wengine wa nchi wanakuwa na ma-ADC lakini wanatumika kwa wakati maalum tu. ADC pia ni kielelezo cha mamlaka ya Rais na Uamiri Jeshi.
Wengine wanaomzunguka Rais ni walinzi. Kazi yao ni Ulinzi wa Rais. Kiongozi wa Walinzi wa Rais (Detail Leader) kwa nyakati tofauti husimama nyuma ya Rais upande wa kushoto na umbali usiozidi urefu wa mkono. Huyu ndiyo anayeongoza walinzi wengine.Walinzi wa Rais mara nyingi huvaa nguo zinazofanana (Safari Suits,Western Suits) na mara nyingi nguo zao hulandana sana na wanayemlinda.Idadi yao hutegemea hadhira,urari wa usalama n.k.
Walinzi wa Rais hubeba silaha ndogondogo (Bastola) lakini silaha za kadiri(SMG's) haziwi mbali sana na wao. Kumbuka kazi ya msingi ya walinzi si mapigano bali ulinzi wa Rais.Kwa hiyo likitokea shambulizi kazi ya kwanza ya DL ni kumweka Rais kwenye mazingira salama kisha kutoa malelekezo kwa wenzake.Wenzake kazi yao ni kuwakinga(Rais na DL) kwa kuwazunguka(shield), kuziba milango(kama ni chumba) na kushambulia (ikibidi) huku wengine wakiratibu usafiri wa kwenda sehemu salama(Ikulu,Ikulu ndogo,Nyumba ya Wageni ya Serikali n.k.).

Maelezo mazuri ndugu Mungo Park. Sasa huko kushoto ni kushoto kwa Rais au mimi mtazamaji?
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmh huku sio kutaka kujua bali nikumkatisha tamaa kiongozi asiendelee kutujuza we kama unajua chuna wengine tunaitaji kujua
 
yule jamaa sio mmoja , huwa wapo zaidi ya mmoja , na yule sio bodyguard bali ni mpambe tu.. jaribu kuangalia picha tofauti za mheshimiwa raisi , utaona kwamba yule jamaa huwa anakuwa tofauti
Mkuu Aide De Camp huwa ni mmoja habadilikibadiliki. Kwa mfano Rais JK aliingia na yule mmoja na baada ya kupandidhwa cheo na kuwa Brigadier General ndio akaja wa sasa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu upo utaratibu wa kumpata msaidizi wa rais, lakini mara nyingi kwenye huo mchakato rais mwenyewe anahusishwa,mfano mpambe anaweza akaanza na rais mpaka anamaliza nae mihula yote miwili mfano mkapa,,,,,aliyeanza na kikwete alimpandisha cheo na kuwa gen,,,ikabidi abadiliswe, na huyo nikama msaidizi wanaomlinda rais ni wanausalama waliobobea na wako well trained na wanabeba silaha tena nzito sio raisi raia kuona hizo silaha,,,,,kutegemea na eneo rais alipo,,,na taarifa za inteligensia za wakati huo wanaweza wakawa wengi na hawavaagi uniform sana sana suti nyeusi au rangi nyingine,,,na wanasaidiwa na polisi ffu amao na wenyewe wana mafunzo maalum

mpambe wa rais sio lazima awe ni ndugu yake,,na anakuwaga na mapumziko kama ratiba ya boss wake ilivyo
Mkuu upo deep sana, nimeipenda hii Mada, endelea kutiririka, vp kuhusu wale mashushushu wanaotangulia siku kadhaa Kabla ya Rais kuja nao ni part ya mabordguard au ni kitengo kingine?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mkuu mbwa wana umuhimu wao sana tu haswa kwa vilipuzi hili tuliache tu.
Unapotaka kulinganisha ulinzi wa viongozi mi nadhani unaweza kuwa sawa na unaweza usiwe sawa pia. . . .Masuala ya ulinzi yanaendana na potential dangers za wakati na sehemu husika. . . . .dunia ya tatu hatari zake sio sawa na za dunia ya pili na ya kwanza. . . . .walinzi wanakuwa trained internationally kwa physique, combat mpaka "accessories" na silaha. . . . .linapokuja suala la tech ndio mpishano unaanza sasa na hizo dangers ndio zinasababisha response team ziwaje, ukubwa gani na silaha zitumikazo, usafiri nakadhalika

Marekani wako mbali saaanaaa tu hili lisikuumize kichwa
Mi sioni kama wanatofautiana sana, maana hata wa kwetu wanaenda kuwa trained hukohuko nchi zilizoendelea, tena wanakuwa wamefunzwa Katika nchi mbalimbali mf China, marekani, urusi, Cuba nk. Mtu huyohuyo mmoja, kuna jamaa mmoja namfahamu alipelekwa shaolin temple China Akakaa miaka mitatu akijafunza Mapigano ya mikono, tusijidharau kiivyo, na matrainer ni walewale
 
Yule Afisa wa Jeshi anayesimama nyuma ya Rais siyo mlinzi bali ni Msaidizi (mpambe) wa Rais (ADC).Wasaidizi wengi wa Marais wa Tanzania wametokea JWTZ lakini wakati wa Rais Nyerere aliwahi kuwa na ADC kutoka Jeshi la Polisi.
Marais wengine wa nchi wanakuwa na ma-ADC lakini wanatumika kwa wakati maalum tu. ADC pia ni kielelezo cha mamlaka ya Rais na Uamiri Jeshi.
Wengine wanaomzunguka Rais ni walinzi. Kazi yao ni Ulinzi wa Rais. Kiongozi wa Walinzi wa Rais (Detail Leader) kwa nyakati tofauti husimama nyuma ya Rais upande wa kushoto na umbali usiozidi urefu wa mkono. Huyu ndiyo anayeongoza walinzi wengine.Walinzi wa Rais mara nyingi huvaa nguo zinazofanana (Safari Suits,Western Suits) na mara nyingi nguo zao hulandana sana na wanayemlinda.Idadi yao hutegemea hadhira,urari wa usalama n.k.
Walinzi wa Rais hubeba silaha ndogondogo (Bastola) lakini silaha za kadiri(SMG's) haziwi mbali sana na wao. Kumbuka kazi ya msingi ya walinzi si mapigano bali ulinzi wa Rais.Kwa hiyo likitokea shambulizi kazi ya kwanza ya DL ni kumweka Rais kwenye mazingira salama kisha kutoa malelekezo kwa wenzake.Wenzake kazi yao ni kuwakinga(Rais na DL) kwa kuwazunguka(shield), kuziba milango(kama ni chumba) na kushambulia (ikibidi) huku wengine wakiratibu usafiri wa kwenda sehemu salama(Ikulu,Ikulu ndogo,Nyumba ya Wageni ya Serikali n.k.).

Bila shaka DL ni huyo mwenye kaunda suti nyeupe

Na katika picha nyingine ni huyo aliyevaa kaunda suti nyeusi.
 
Attachments

  • 1427126695103.jpg
    1427126695103.jpg
    101.8 KB · Views: 789
  • 1427126773129.jpg
    1427126773129.jpg
    45.3 KB · Views: 822
Back
Top Bottom