emma-chriss
Senior Member
- Mar 16, 2011
- 100
- 16
Kuna jamaa mmoja alipata ajali akakatwa mkono wa kulia. hio hali ilimkatisha tamaa ya kuishi na akaamua kujiua kwa kupanda juu ya gorofa refu ili ajitupe chini. wakati anataka kujirusha akamuona mtu hana mkono hata mmoja lakini anarukaruka kwa furaha akamua kushuka na kwenda kumuuliza kitugani kinampa furaha wakati hana mkono hata mmoja. mazungumzo yalikua hivi;
Mwenye mkono mmoja: Mshikaji mbona huna mkono hata mmoja lakini unafuraha?
Asie na mikono: Alie kuambia nina furaha nani?
Mwenye mkono mmoja:Nakuona unarukaruka kwa shangwe!
Asie na mikono:Wewe ms**ge nini,hapa nilipo mk**du unawasha natafuta jinsi ya kujikuna ndo mana narukaruka