Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, huu ni uchapakazi au kuchanganyikiwa?

Hapo mimi ndo nilipochoka! Yaani PM wa Ethiopia aje kutoa fursa bandari ya Dar es salaam!! Djbout aiache! Hata Sudan na Kenya nazo aziache!! Atoke kote huko hadi Tanzania wakati ni majuzi tu hapa wamejenga reli kutoka Ethiopia hadi Bandari ya Djibouti!!

Jamaa kichwani hazimo kabisa!
Mkuu unategemea nini kutoka kwa Bashite ?
 
Mkuu unategemea nini kutoka kwa Bashite ?
Nilisahau aisee; kumbe mtu mwenyewe ni Daudi Albert Bashite wa Kolomije ambae katumia miaka 6 MUCCOBS... nadhani MUHAS angetumia miaka 10 kabisa!!
 
H

..katika maelezo yake anasema PM wa Ethiopia atatembelea bandari yetu na hiyo itakuwa ni fursa kwa Ethiopia kutumia ya Dsm!!

..nimeshangaa kweli kweli. sijui Jiografia ya Ethiopia kutumia bandari ya Dsm inafundishwa wapi.

Kolomije.
 
Kuna nesi huko ameshahukumiwa kwa kufoji cheti cha kidato cha nne.
Huyu haieleweki anapeta tu. Hii nchi si-hasa zinatuponza sana
 
H

..katika maelezo yake anasema PM wa Ethiopia atatembelea bandari yetu na hiyo itakuwa ni fursa kwa Ethiopia kutumia ya Dsm!!

..nimeshangaa kweli kweli. sijui Jiografia ya Ethiopia kutumia bandari ya Dsm inafundishwa wapi.

Ahaha itakua ajui ramani ya Africa jinsi ilivyo.
 
Back
Top Bottom