Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

safi sana wanawakee mlisema mnaweza sasa twawaona hamtaki unafiki, sie huku watoogopesha na Alshabibbiiiiii , mkuu wa mkoa ni alshabaabu No.1
 
Ndugu wana JF,kwa faida ya wote.
Mwenyezi Mungu ametujaalia wanadamu wake sote kua na hekma ya kujua mema na mabaya,uongo na ukweli,kuuliza na kueleweshana na si kua na akili ya"KASUKU" ambaye amejaliwa ku-copy mazungumzo na kuyarudia,hata kama tusi yeye amenyimwa na Muumba uwezo wa kupembua mambo.
HOJA:
Nasikitika sana kuona walio wengi wameamua kuishi kwa akili za "KASUKU" na kuacha zile ambazo Mollah amewapatia,kwa sababu tu ya ushabiki wa kiitikadi yoyote ile,mimi ni mkazi wa Arusha,haijawai tokea tukio lolote lile la wananchi wa Arusha,kufanya jambo lolote la aibu ju ya Magesa.
Wana Arusha tunaona jitihada za Magesa kwa maslahi ya Arusha,niliwai sema kua ni kijana MAKINI,MCHAPA KAZI,ASIENDESHWA na yeyote yule.kwa sasa tunategemea ambayo hayakuwezakana kabla.
KWA UJUMLA WANA JF,TUACHE KUTOA HABARI ZA UZUSHI,UONGO,NA CHUKI BINAFSI.
 
Hawana akili hao. Inakuaje kiongozi anayekuongoza udiriki kumrushia nyanya, unajaribu kumpiga.

Hao ni mateka wa kisias wa Lema, hawana jipya.

Lema badala awakemee wananchi wanaofanya uhuni kwa kumpiga kiongozi wao, yeye anawa pongeza. Huu ni ujinga kushabikia vurugu za aina yoyote ile.

Lema anapaswa kuwakemea wananchi wa Arusha kwa kitendo walichofanya, si cha kiungwana kabisa.

AAHH!!! Kumbe niwewe?
 
Ndugu wana JF,kwa faida ya wote.
Mwenyezi Mungu ametujaalia wanadamu wake sote kua na hekma ya kujua mema na mabaya,uongo na ukweli,kuuliza na kueleweshana na si kua na akili ya"KASUKU" ambaye amejaliwa ku-copy mazungumzo na kuyarudia,hata kama tusi yeye amenyimwa na Muumba uwezo wa kupembua mambo.
HOJA:
Nasikitika sana kuona walio wengi wameamua kuishi kwa akili za "KASUKU" na kuacha zile ambazo Mollah amewapatia,kwa sababu tu ya ushabiki wa kiitikadi yoyote ile,mimi ni mkazi wa Arusha,haijawai tokea tukio lolote lile la wananchi wa Arusha,kufanya jambo lolote la aibu ju ya Magesa.
Wana Arusha tunaona jitihada za Magesa kwa maslahi ya Arusha,niliwai sema kua ni kijana MAKINI,MCHAPA KAZI,ASIENDESHWA na yeyote yule.kwa sasa tunategemea ambayo hayakuwezakana kabla.
KWA UJUMLA WANA JF,TUACHE KUTOA HABARI ZA UZUSHI,UONGO,NA CHUKI BINAFSI.

Mkuu mwenye akili zaidi Arusha tofauti na akili za wengine za ki-kasuku(hapa sijui ndo umewatusi kiaina ama vp), hivi wewe una jicho kali kama la Eagle na ukoo juu kama satellite unaona AR nzima? ujue yanayotokea kokote hapo ndio una uhalali wa kusema lipi limetokea na lipi halijatokea? wale raia weeeeeeeeeeengi tunaowaona sikuzote AR wakiandamana, wakisindikizana na Mbunge wao na waliokesha pale NMC sio wa AR? huo umakini wa huyo RC uko kitabaka? Kaanze upya na hoja ulioifanyia kazi sio wote makasuku hapa ila wa sisiem kwa mfano hai mjadala wa Lissu badala ya katiba. Wale ndio makasuku.
 
Kwa faida ya wote;Mwenyezi Mungu ametutofautisha na viumbe vyote katika uumbaji wake,ametupa uwezo wa kujua mema na maovu,ukweli na uongo,pia KUULIZA na KUELEWESHWA,si udhaifu kuuliza,udhaifu ni kudakia usiyoyajua..Kuna ndege anitwa "KASUKU",yeye pia Mollah alimjalia uwezo wa 'KU-COPY' na kurudia,hata kama ni MATUSI,yeye amenyimwa uwezo wa kupembua.HOJA; Inasikitisha sana,kuona jamii ya wanadamu wengi,kuamua kuishi maisha ya "KASUKU" kwa ku-copy na ku-paste maneno,hii ni hatari kwa Afya ya Taifa,kwa kua na idadi kubwa ya wavivu wa kufikiri.Mimi ni mkazi Arusha,nimeshangazwa na hiko chanzo cha fitna,chenye mtazamo wa kiitikadi za wazi kwa tuhuma ya UONGO,UZUSHI,UPOTOSHWAJI na UNAFKI,uliokithiri,Magesa amekua faraja,asie na ubaguzi katika shughuli zake za kiofisi,mwenye mikakati ya matumaini mapya dhidi ya Arusha tunayoitaka,asiyeyumbishwa na yeyote yule,hao kina mama wa Arusha ni kina mama wenye maadili,si vichaa,wampige nyanya kwa nini!!Kwa ujumla habari hizi ni za KIHUNI na UPOTOSHWAJI MKUBWA.wana JF,vema tukawa tunatoa habari za ukweli na si za kutungwa kwa minaajiri ya kiitikadi.
 
Kila gamba, likipita karibu yako, fanya kama akina mama wauza nyanya wa arusha. Ukikosa nyanya chukua jiwe, ponda majambazi makubwa hawa. Magamba hayana tena uhalali wa kuongoza nchi hii. Yaondoke kwa hiari kabla nguvu ya umma haijaamua. GAMBA TOOOOOOOKAAAAAAAA.
 
Back
Top Bottom