Hawana akili hao. Inakuaje kiongozi anayekuongoza udiriki kumrushia nyanya, unajaribu kumpiga.
Hao ni mateka wa kisias wa Lema, hawana jipya.
Lema badala awakemee wananchi wanaofanya uhuni kwa kumpiga kiongozi wao, yeye anawa pongeza. Huu ni ujinga kushabikia vurugu za aina yoyote ile.
Lema anapaswa kuwakemea wananchi wa Arusha kwa kitendo walichofanya, si cha kiungwana kabisa.
Ndugu wana JF,kwa faida ya wote.
Mwenyezi Mungu ametujaalia wanadamu wake sote kua na hekma ya kujua mema na mabaya,uongo na ukweli,kuuliza na kueleweshana na si kua na akili ya"KASUKU" ambaye amejaliwa ku-copy mazungumzo na kuyarudia,hata kama tusi yeye amenyimwa na Muumba uwezo wa kupembua mambo.
HOJA:
Nasikitika sana kuona walio wengi wameamua kuishi kwa akili za "KASUKU" na kuacha zile ambazo Mollah amewapatia,kwa sababu tu ya ushabiki wa kiitikadi yoyote ile,mimi ni mkazi wa Arusha,haijawai tokea tukio lolote lile la wananchi wa Arusha,kufanya jambo lolote la aibu ju ya Magesa.
Wana Arusha tunaona jitihada za Magesa kwa maslahi ya Arusha,niliwai sema kua ni kijana MAKINI,MCHAPA KAZI,ASIENDESHWA na yeyote yule.kwa sasa tunategemea ambayo hayakuwezakana kabla.
KWA UJUMLA WANA JF,TUACHE KUTOA HABARI ZA UZUSHI,UONGO,NA CHUKI BINAFSI.
aliingia kama nani kwenye vikao hivyo?