Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia.

Vyombo vya hanari vyawasiliana na Mh Lema kuhusu tukio hilo, Lema asema, wananchi wameamua kuwasilisha hisia zao kwa viongozi wanafki na amewataka wananchi kutomwogopa mtu yeyote yule, na anaunga harakati zao za kudai haki.
 
ipo siku wajenzi watamtupia matofali, mafundi watamtupia spana, walimu watamtupia chaki,wakulima watamtupia majembe na wa mwisho ni wasio na chochote mikononi wataokota mawe na kumtupia na ndo hapo atagundua misingi ya haki za binadamu inaumuhumu kuzingatiwa na kuheshimiwa na dola.
 
Back
Top Bottom