Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

Huyu RC kasahau kwamba kateuliwa na Rais ambaye wana Arusha walimkataa, na kwa wanaarusha hawatambui uwepo wa rais hivyo hawamtambui huyo mteule wake. Wanachojua wao kiongozi wao ni Lema na Rais wao ni Dr. Slaa. Na kwa watanzania wengi moyoni mwao ndivyo wanavyoamini. Ukitaka kupima ukweli huu rejea vurugu za Mbeya, walimtaka rais wa mkoa wao Sugu, ama rais wao Dr. Slaa ndie wangemsikiliza na si mtu mwingine.
Ili uwe kiongozi wa watu ni lazima ukubalike miongoni mwa watu hao, vinginevyo unakuwa ni dikteta tu. Leo hii JK anapata kigugumizi kutembelea Arusha, Mwanza, Mbeya, Moshi sababu ni kwamba anaujua ukweli kuhusu urais wake na anajua ni kwa kiasi gani wananchi wa mikoa hiyo walivyomkataa.
 
Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia.

Vyombo vya hanari vyawasiliana na Mh Lema kuhusu tukio hilo, Lema asema, wananchi wameamua kuwasilisha hisia zao kwa viongozi wanafki na amewataka wananchi kutomwogopa mtu yeyote yule, na anaunga harakati zao za kudai haki.

Hii habari nina mashaka nayo.

Inawezekana kweli Mkuu wa Mkoa ambaye ndio Mwenyekiti wa baraza la ulinzi na usalama mkoa akatupiwa nyanya na wafanyabiashara ndogo ndogo? Je patakalika hapo?

Kama Dc kule Igunga watu wameshitakiwa? vp huyo Rc ?

Nina wsi wasi na mtoa mada
.
 
Hahahahahah.. hii nimeipenda. Kina mama huyo oyeeeeeeeee....
 
Hawana akili hao. Inakuaje kiongozi anayekuongoza udiriki kumrushia nyanya, unajaribu kumpiga.

Hao ni mateka wa kisias wa Lema, hawana jipya.

Lema badala awakemee wananchi wanaofanya uhuni kwa kumpiga kiongozi wao, yeye anawa pongeza. Huu ni ujinga kushabikia vurugu za aina yoyote ile.

Lema anapaswa kuwakemea wananchi wa Arusha kwa kitendo walichofanya, si cha kiungwana kabisa.

Ngoja na mayai mabovu inakuja.................
 
Hii habari nina mashaka nayo.
Kama Dc kule Igunga watu wameshitakiwa? vp huyo Rc ?

Nina wsi wasi na mtoa mada
.

Kule Igunga watu walikuja kushitakiwa baadaye, lakini siku hiyo Mama Kimaro aliwekwa chini ya ulinzi,
akalazimishwa kwenda kumsikiliza Dr. Slaa, na akakiri kwamba amefanya makosa kuingilia mkutano wa CDM.
Baada ya hapo akaomba glass ya maji ya kunywa!

BTW, rais mwenyewe alishawahi kupopolewa kwa mawe achilia mbali nyanya, kama unashangaa ya Mussa
 
kilichobaki ni kwa huyo mkuu wa mkoa kupewa bodigadi amlinde hadi chooni laa sivyo watamghaddaffi
 
kazi ipo kwa magamba manake zamani mtaji wao mkubwa walikuwa wanawake,wanawadangaya sana lakini wanawake wa Arusha wametuonyesha kwa vitendo kuwa hawadanganyiki.
 
Hii habari nina mashaka nayo.

Inawezekana kweli Mkuu wa Mkoa ambaye ndio Mwenyekiti wa baraza la ulinzi na usalama mkoa akatupiwa nyanya na wafanyabiashara ndogo ndogo? Je patakalika hapo?

Kama Dc kule Igunga watu wameshitakiwa? vp huyo Rc ?

Nina wsi wasi na mtoa mada
.

Wewe utajuaje mambo ya huku Tanganyika yakhe? Kwa taarifa yako huyo rais wa nchi mwenyewe watu walimpopoa mawe huko Mbeya nini huyo kibaka RC wa AR?
 
Kina mama wa soko kuu arusha nawakubali sana kwa misimamo yao.

Leo nitaenda kuwaungisha nyanya.
 
Habari hii imenifurahisha sana, na nimeamini ya kwamba hao akina mama wa Arusha wamepata nauli hivyo wamekuja mjini
 
Back
Top Bottom