Mkuu wa mkoa wa Arusha afukuzwa soko kuu la Arusha kwa nyanya

Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia.

Vyombo vya hanari vyawasiliana na Mh Lema kuhusu tukio hilo, Lema asema, wananchi wameamua kuwasilisha hisia zao kwa viongozi wanafki na amewataka wananchi kutomwogopa mtu yeyote yule, na anaunga harakati zao za kudai haki.

Hizi habari zitakuwa za kweli. Kilewo huwa anatuma facts
 
Tanzania inahitaji ukombozi wa fikra, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kuwa ni Mjinga anatakiwa akombolewe kabla hajawa Mpumbavu.
Kumkomboa Mpumbavu kunahitaji kazi ya ziada kulinganisha na Mjinga!
 
Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia.

Vyombo vya hanari vyawasiliana na Mh Lema kuhusu tukio hilo, Lema asema, wananchi wameamua kuwasilisha hisia zao kwa viongozi wanafki na amewataka wananchi kutomwogopa mtu yeyote yule, na anaunga harakati zao za kudai haki.

Mkuu wa mkoa huyo anapoteza mwelekeo wake na mwisho wake ndio huo kama alitumwa na JK akamwambie kuwa wananchi wa jimbo la arusha mjini sio wale wa ndio mzeeee na jimbo hilo la arusha sio CCM tena ni CHADEMA mwanzo mwisho.

Kwa hiyo nafasi ya kujitahidi kuwa mpatanishi haipo tena kwa viongozi wa CCM na waende wakawapatanishe UNCCM na sio wana harakati kama hao wakina mama hawataki kuburuzwa tena hiyo ndio picha halisi kwanini wasisikilize wananchi wana taka nini?
 
Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia.

Vyombo vya hanari vyawasiliana na Mh Lema kuhusu tukio hilo, Lema asema, wananchi wameamua kuwasilisha hisia zao kwa viongozi wanafki na amewataka wananchi kutomwogopa mtu yeyote yule, na anaunga harakati zao za kudai haki.

Natumaini litakuwa soko kuu hilo, kama ni hilo yaani soko hilo limeharibika kabisa. Akina mama wale wanaopanga nyanya na vitu vidogo vidogo ni damu damu na CDM. Any way natumaini ilikuwa ni reseach nzuri kwa mkuu wa mkoa.
 
Yawezekana mambo yanayoendelea humu nchini ni mengi mno ila hatuyapati yote kutokana na uchache wa mawasiliano.Sipati picha kila taarifa ingekuwa inavuma kila mahala pangekuwaje Tz leo.
 
sasa bado huyu mbabe wa machinga nasikia jamaa walikuwa wanaimba ..........hatumtaki huku wanapigwa mabomu siku 2 consecutively sijui kama atapona
 
Hawana akili hao. Inakuaje kiongozi anayekuongoza udiriki kumrushia nyanya, unajaribu kumpiga.

Hao ni mateka wa kisias wa Lema, hawana jipya.

Lema badala awakemee wananchi wanaofanya uhuni kwa kumpiga kiongozi wao, yeye anawa pongeza. Huu ni ujinga kushabikia vurugu za aina yoyote ile.

Lema anapaswa kuwakemea wananchi wa Arusha kwa kitendo walichofanya, si cha kiungwana kabisa.
 
Tanzania inahitaji ukombozi wa fikra, na Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa kuwa ni Mjinga anatakiwa akombolewe kabla hajawa Mpumbavu.
Kumkomboa Mpumbavu kunahitaji kazi ya ziada kulinganisha na Mjinga!

anzeni kumkomboa mbunge wenu anayeshabikia uhuni unaofanywa na wananchi wake.
 
ipo siku wajenzi watamtupia matofali, mafundi watamtupia spana, walimu watamtupia chaki,wakulima watamtupia majembe na wa mwisho ni wasio na chochote mikononi wataokota mawe na kumtupia na ndo hapo atagundua misingi ya haki za binadamu inaumuhumu kuzingatiwa na kuheshimiwa na dola.

......Na watapisha vyoo nao watamtupia.......
 
Kwani hakuwa na FFU????

Akome na kuanzia sasa ahakikishe anakuwa na FFU wenye kila aina ya silaha 24/7!! Ila aombe asikutana na wataalamu wa Mbeya!!
 
Yani (RC) awe na escot! Mbunge aliyechaguliwa kwa kura 56,000 akose escot halafu mjinga mmoja aliyeteuliwa na kichwa cha fisadi apewe?? Kweli ikitokea RC kupewa escot hata nami naenda kudai ulinzi wa nyumbani kwangu.
Ndo maana ya nguvu za rais,badilisheni katiba.

Nashangaa kwanini mwalimu hakuona katiba mpya ingekuwa jambo la maana sana...Hata mara baada ya kuondoka madarakani?
 
Ktk hali isiyokuwa yakwaida, mkuu huyo wa mkoa alikumbana na dhahma baada ya kutaka kuongea na watu wa sokoni, wakinamama walinyanyua nyanya zao na karoti na kumpiga nazo na yeye kukimbia.

Vyombo vya hanari vyawasiliana na Mh Lema kuhusu tukio hilo, Lema asema, wananchi wameamua kuwasilisha hisia zao kwa viongozi wanafki na amewataka wananchi kutomwogopa mtu yeyote yule, na anaunga harakati zao za kudai haki.

Safi sana. Hongera zenu akina mama wa sokoni Arusha kwa kumfukuza fisadi huyo wa magamba
 
Back
Top Bottom