Mkuu wa mkoa na Polisi wapiga marufuku M4C Kanda ya Kati

Hii ni nini sasa?

Defender mingi hivyo za nini?? Maji ya kuwasha ya nini??
Obviously watakuwa pia armed, ya nini??


Usipinge M4C kwa risasi, usipinge Maandamano kwa Mabomu, ewe CCM sikia kilio cha sisi masikini, turekebishie hali,
bei shusha,
urasimu ni tabu tupu,
ufaulu wa wanetu,
mikopo watoto wetu vyuoni,
kazi kwa sisi graduates na tusio graduates,
mikopo tufanye biashara etc

Mkirahisiha hayo mbona hamtatumia polisi, washawasha, risasi na mabomu. And if you weigh the costs of supressing the demostrations asee ni kubwa sana, si ni bora mtupunguzie ugumu wa maisha (najua mnaweza).

Lakini until then mtuache tu sisi tukasikilize ukweli, tukapate tumaini jipya, mtuache tuingie baabarani kuzikomboa na fikra za waliobakia.

Round hii msing'oe kucha tu , ngoeni kidole chote na kama haitoshi ng'oeni hata roho. Ila kama pumzi ninayo its M4C leo, kesho, kesho kutwa mpaka kieleweke.


Risasi Huisha, Vitisho Navyo Pia. Ukweli husimama daima.
 
Mapema ipi unayoisema????
Navyojua semina za mwl. Mwakasege zinaandaliwaga almost more than one month before!
Kama CHADEMA wanataka kufanyia kwenye uwanja huo huo wa barafu then kuhusu Mwl. Mwakasege kuwahi hao Polisi watakuwa sahihi!!
Ila hilo lingine la uwepo wa wabunge huo ni usanii tu!

Cha muhimu CHADEMA wabadili uwanja wa mkutano!!
Ndugu chadema wameomba uwanja wa mnadani ni pembeni ya mji na bado wanakatazwa.
 
CCM wako mkoa wa jirani- Morogoro bila shida, tena wanapokelewa na maandazi na vitumbua.

2015 watajua wapi pa kuelekeza lawama: polisi, spika na naibu wake, tbc. Kwa pamoja hawa wamechangia sana kutibua nyongo za wananchi!

Ati ......
attachment.php

Vitumbua.jpg
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Embu basi kuwe na ziara za kuwatembelea wafanya biashara wadogo, wakulima, wanafunzi, walimu mashuleni na sehemu zingine za jamii kusikiliza kero zao, kila siku mikusanyiko na waOuni tu khaa, inachosha kusoma sasa mambo yaleyale kila kukicha.
Unajua Mtu anaweza kuandika post ukastuka, hivi kabla ya kuandika Mtu unapata kweli wasaa Wa kufikiria unachokiandika? Kuna Mtu kweli analazimishwa kwenda mkutanoni?!?!???
 
Mungu akiamua nchi ikombolewe hakuna atakae zuia
wasidhani kuzuia mikutano ya chadema watazika upinzani
wakwende zao kabisa hilo bunge linafanyika jumamosi?
mkutano huo utaathiri vipi bunge?
 
Unajua Mtu anaweza kuandika post ukastuka, hivi kabla ya kuandika Mtu unapata kweli wasaa Wa kufikiria unachokiandika? Kuna Mtu kweli analazimishwa kwenda mkutanoni?!?!???
Point taken maana kama na mimi nimeanza kuona umuhimu wa kuandamana sheria ikishindwa maana yake wenzangu walishayajua hayo tangia kale ndio maana maandamano wameyapokea mapema.

Polepole tu tutafika kumbe mmpaka yatukute anyway this train is in motion.
 
Dah, Ccm kile chama cha zamani, ufalme wako umepimwa na umeonekana umepungua, kwa hivi kwa hakika kufa utakufa na wala hautaishi iwe kwa ubabe, vurugu, unyanyasaji, uuaji, usingiziaji, ujasusi nk bado hautapona, kila lenye mwanzo lina mwisho, kwa heri yakutokuonana maana najua huwezi kusimama kama mpinzani kwa hiyo najua ndo mwisho wa historia yako..
 
Wanaharakati wa kwenye keyboard,kelele nyingi ikifika maandamano hamuonekani wanafiki tupu,
 
Chadema ni nchi nzima ni kama moto unavyoenea katika majan makavu,sio kilimanjaro tu hata huku kwetu ushirombo ndo usipime ni zaidi ya tz nadhan haaaaah mtajipanga lumumba hadi vidole viote sugu
Mkuu mwambie huyu sumu, makamanda wana twanga kotekote!
 
Wakati M4C KANDA YA KATI maandalizi yake yakiwa YAMEKAMILIKA.

Taarifa nilizosikia muda si mrefu ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la polisi wamesema ole wao CHADEMA wajitokeze kiama chao watakiona.

Tayari Ulinzi mkali kuanzia usiku huu umeimarishwa huku Magari ya Kuwasha pamoja na Defender zaidi ya 100 zinaranda randa kila kona.

Sababu zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa: '' Bunge linaendelea....''

Polisi: ''....mchungaji Mwakasege amewahi UWANJA kabla ya CHADEMA...''

Source: WAPO FM.

mkuu asante kwa taarifa ila kuna vitu vinahitaji maelezo
1. Cdm hawana taarifa ya huo uwanja kutumiwa na mwakasege?
2. Mmiliki wa huo uwanja ni polisi au?
3. Mkutano wa cdm unahusika nini na bunge kuendelea?
4. Mkutano wa mwakasege hauna uhusiano na bunge kuendelea?
5.je cdm wakifanyia mkutano wao mahala pengine kwa polisi ni sawa?
 
Back
Top Bottom