Mkuu wa mkoa na Polisi wapiga marufuku M4C Kanda ya Kati

CT SCan Mchina

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
1,311
285
Wakati M4C KANDA YA KATI maandalizi yake yakiwa YAMEKAMILIKA.

Taarifa nilizosikia muda si mrefu ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la polisi wamesema ole wao CHADEMA wajitokeze kiama chao watakiona.

Tayari Ulinzi mkali kuanzia usiku huu umeimarishwa huku Magari ya Kuwasha pamoja na Defender zaidi ya 100 zinaranda randa kila kona.

Sababu zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa: '' Bunge linaendelea....''

Polisi: ''....mchungaji Mwakasege amewahi UWANJA kabla ya CHADEMA...''

Source: WAPO FM.
 
Nilichokuwa najua M4C imeandaa mkutano wake nje ya mji kabisa maeneo ya mnadani sasa na hiyo bado inawakera, na kwanini mpaka maandalizi yakamilike ndipo watoe amri ya kuzuia basi ngoja tusubili tuone
 
CCCCCCM ni makaburu na ni kandamizi wa demokrasia nchini; waacheni jamani wale bata tu; mimi utumbo wa bata unanitosha
 
Wakati M4C KANDA YA KATI maandalizi yake yakiwa YAMEKAMILIKA.

Taarifa nilizosikia muda si mrefu ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la polisi wamesema ole wao CHADEMA wajitokeze kiama chao watakiona.

Tayari Ulinzi mkali kuanzia usiku huu umeimarishwa huku Magari ya Kuwasha pamoja na Defender zaidi ya 100 zinaranda randa kila kona.

Sababu zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa: '' Bunge linaendelea....''

Polisi: ''....mchungaji Mwakasege amewahi UWANJA kabla ya CHADEMA...''

Source: WAPO FM.

Aseeee....
 
CCM wako mkoa wa jirani- Morogoro bila shida, tena wanapokelewa na maandazi na vitumbua.

2015 watajua wapi pa kuelekeza lawama: polisi, spika na naibu wake, tbc. Kwa pamoja hawa wamechangia sana kutibua nyongo za wananchi!
 
Wakati M4C KANDA YA KATI maandalizi yake yakiwa YAMEKAMILIKA.

Taarifa nilizosikia muda si mrefu ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwa kushirikiana na Jeshi la polisi wamesema ole wao CHADEMA wajitokeze kiama chao watakiona.

Tayari Ulinzi mkali kuanzia usiku huu umeimarishwa huku Magari ya Kuwasha pamoja na Defender zaidi ya 100 zinaranda randa kila kona.

Sababu zilizotolewa na Mkuu wa Mkoa: '' Bunge linaendelea....''

Polisi: ''....mchungaji Mwakasege amewahi UWANJA kabla ya CHADEMA...''

Source: WAPO FM.

Jk si alisema chadema ni chama cha msimu 2010 kipindi cha uchaguzi leo kinafanya siasa wanakataa nakutafuta sababu za kipuuzi sasa mkutano na bunge wapi na wapi.
 
Kama Mwakasege kawahi uwanja mapema wasimwingilie!
..............Ila kama wanataka.....AT THEIR OWN RISK!!!
 
Jk si alisema chadema ni chama cha msimu 2010 kipindi cha uchaguzi leo kinafanya siasa wanakataa nakutafuta sababu za kipuuzi sasa mkutano na bunge wapi na wapi.

badala ya kupambana na umaskini wa Taifa pamoja na Deni la Taifa Wao Wanapambana Na CHADEMA....
 
Embu basi kuwe na ziara za kuwatembelea wafanya biashara wadogo, wakulima, wanafunzi, walimu mashuleni na sehemu zingine za jamii kusikiliza kero zao, kila siku mikusanyiko na wauni tu khaa, inachosha kusoma sasa mambo yaleyale kila kukicha.
 
maandalizi yalifanywa na polisi walipewa taarifa mapema mno.

Mapema ipi unayoisema????
Navyojua semina za mwl. Mwakasege zinaandaliwaga almost more than one month before!
Kama CHADEMA wanataka kufanyia kwenye uwanja huo huo wa barafu then kuhusu Mwl. Mwakasege kuwahi hao Polisi watakuwa sahihi!!
Ila hilo lingine la uwepo wa wabunge huo ni usanii tu!

Cha muhimu CHADEMA wabadili uwanja wa mkutano!!
 
tatizo letu Watanzania tumekua mazezeta mno, waoga wakubwa mnataka mabaliko lakini hamtaki kuyapigania na ccm imewajua,alipigwa ULIMBOKA kimya, akauwawa MWANGOSI vibaya napo kimya,likafungiwa Mwanahalisi hakuna mlichofanya sasa KIBANDA, na ccm wanaendelea kufanya ubabe bungeni kimya baada ya hapo wataanza kuua wanasiasa napo mtakaa kimya kazi kulalamika tu mkiitwa kufanya maandamano kupinga huu upuuzi mnajifanya mko busy suburini tu ccm itafanya jambo kubwa labda litawaamsha usingizini.
 
Back
Top Bottom