Said Bagaile
JF-Expert Member
- Jun 23, 2011
- 686
- 256
Yaani Vimon, unakubali kushawishiwa usilete updates na mtu aliyetumwa na Magamba ili watu wasijue kinachoendelea na wewe unakubali kudanganyika na kususa! Hujui kwamba hiyo ndiyo ilikuwa nia yake?
Serikal ya JK imeshindwa kuongoza,haiwezekan mpaka leo wafanyakaz na wahadhari wa vyuo vikuu hatujapata mshahara.
Achana na wakiritimba wa habari!...lete data broda!...We are anxious out here!naona nifunguke tu mambo ya kuwanyima wadau update ni dhambi,na mimi siwapendi magamba wanisamehe ila nilate updates kila baadaa ya dakika tano
Hadi leo mshahara bado..! Poleni
Serikal ya JK imeshindwa kuongoza,haiwezekan mpaka leo wafanyakaz na wahadhiri wa vyuo vikuu hatujapata mshahara.
hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,