vimon
Senior Member
- Apr 3, 2008
- 183
- 195
KIKAO NDO KINA ANZA Dr. Namala ameonge na anasisitiza kikao kiwe brief na detail, Dr. ulimboka kaongea amekwisha toa muhtasari wa mkutano wa tarehe 9/2/2012.
Dr. Namala anasisitiza sababu zilizosababisha kuhitilafiana/kutokukubaliana na meza ya majdiliano ya serikali. Madaktari wanatoa michango yao.
Kikinuka nitawajulisha
Kwa ufupi madaktari wamekubaliana kuipa serikali mpaka jumatano Bwana Mponda na Naibu wake Lucy wawe wameondoka pale wizara ya afya ili waweze kukaa meza mmoja na serikali kutatua mgogoro wao.
Serikali ikishindwa kufanya hivyo basi mgomo utanza jumatano,madaktari wametumia busara kubwa sana katika mkutano wao wa leo,lakini inaonekana ofisi ya waziri mkuu na chombo kimoja cha habari vinatumika vibaya kuupotosha umma wa Tanzania.
My take:
serikali ifanye jitihada ya kuwaondoa hawa waliotuhumiwa ili wananchi wasije pata madhara tena kama mgomo ulio pita.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake

daktari anasisitiza mwandishi wa habari wa ofisi ya wazari mkuu apewe onyo kwa kukurupuka na kupotosha umma. Pia serikali ijue kuwa hakuna mtu aliyezaliwa kuwa waziri. Waziri alifanya dhambi ya kudanganya tena Bungeni. Pamoja na kudanganya bunge akadanganya watanzania wote. wanataka time frame ya mawaziri kuondolewa (Mzizi wa fitina)