Mkutano wa madaktari NSSF Water Front

Yaani Vimon, unakubali kushawishiwa usilete updates na mtu aliyetumwa na Magamba ili watu wasijue kinachoendelea na wewe unakubali kudanganyika na kususa! Hujui kwamba hiyo ndiyo ilikuwa nia yake?
 
Nasikitika watu wanamkataa Vimon KULETA UPDATES!...I cant get the point!..Maana ya kuripoti live ninini!
Kwanini tupewe conclusion while we can ourselves, step by step, draw a conclusion on follow up of the postings by Vimon?
Tunapenda kupewa final decisions tu za matatizo na si kujishughulisha na discussions ili na sisi tuwe kama part ya gathering...what a bug bit us?
 
naona nifunguke tu mambo ya kuwanyima wadau update ni dhambi,na mimi siwapendi magamba wanisamehe ila nilate updates kila baadaa ya dakika tano
Achana na wakiritimba wa habari!...lete data broda!...We are anxious out here!
 
madaktari wanachambua kimsingi makubaliano na serikali
Hatua ya kwanza kujenga mazingira mazuri ya majadiliano...!! Kwa kuwawajibisha Waziri na Naibu waziri wa afya
Hatua ya pili na yatatu zitategemea na utekelezaji wa hatua ya kwanza. Na kama haijatekelezwa hatuwezi kwenda katika hatua hizi
Ya mwisho ni kuweka sign maafikiano yatakayofikiwa.
Swala la kuwawajibisha waziri na naibu waziri haliitaji gharama zozote, including upembuzi yakinifu
Upande wa MAT uliihakikishia kuwa iwapo serikali itatekeleza hatua ya kwanza madaktari watakuwa tayari kuendelea na majadiliano
wajumbe wanachangia Bwana mponda atakumbwa na sunami
 
wimbo wa solidarity forever maarufu kama wimbo wa kutiana moyo unaimbwa
 
mzizi wa fitina uondolewe na ni waziri na naibu waziri hapa kazi ipo,kama mimi mponda najiuzulu
 
hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,
 
daktari anasisitiza mwandishi wa habari wa ofisi ya wazari mkuu apewe onyo kwa kukurupuka na kupotosha umma. Pia serikali ijue kuwa hakuna mtu aliyezaliwa kuwa waziri. Waziri alifanya dhambi ya kudanganya tena Bungeni. Pamoja na kudanganya bunge akadanganya watanzania wote. wanataka time frame ya mawaziri kuondolewa (Mzizi wa fitina)
 
Serikal ya JK imeshindwa kuongoza,haiwezekan mpaka leo wafanyakaz na wahadhiri wa vyuo vikuu hatujapata mshahara.

Ebo!! Hizi ndizo ahadi wanazopewa vifaranga vya kuku mara mtanyonya kesho mara keshokutwa halafu muda unaenda tu.
 
hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,

umetumwa nahisi wadau huyu hayupo ukumbini hapa sipo kulumba
 
hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,

Acha ulimbukeni,hatuitaji taarifa yako,mkuu Vimon anatosha kutuhabarisha
 
seven (time frame) imependekezwa kuwajibishwa ila sio makubaliano.
 
hakuna kinachoendelea hapa,wote wamekubali kum'uunga mkono JK cdm haina lao hapa m'a DK wote wapo m,akinui na ni ccm damu,vimon anatoa taarifa za uongo hakuna cha wimo wala nini,wanaipongeza serikali kwa kwa wa chop out GS B.Nyoni,

Wewe umetumwa..
 
jaman am here nssf water front hakuna ki2 ka hicho VIMON anaripoti upuuzi invisible tafadhali afungiwe huyo,
 
Back
Top Bottom