1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 603
Moma2k, ukubwa dawa!, hawa ni Wazee wa Busara!. Thamani yao ni hekima zao!
Mkuu Pasco nakubaliana kabisa na wewe,ila tatizo ni kua,rais atakapo ongea nao,wao wazee hawatakua na nafasi ya kuweza kumpa busara na hekima zao rais,maana itakua ni kama wao wanasikiliza tu hotuba ya rais bila kuchangia lolote,sina uhakika sana ila if im wrong nisahihishe,pili hao wazee wanaoudhuriaga hiyo kitu wengi wao wanakua ni wenye mrengo wa chama fulani,na mbaya zaidi inaonekana hata kinachowapelekaga hawakajihi!