Mkutano wa CHADEMA kurushwa Live na ITV siku ya Jumamosi, Jangwani

Ni lazima kieleweke hakuna kulala,wenye magamba wote mnakalibishwa lazima ya vuliwe(njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na kuelemewa na mizigo mizito ya dhambi za ufisadi nami nitawapumuzisha.)ila lazima zitolewe kwanza ndipo pumziko linafwata.
 
- Mkuu safari hii ninakuja nijioneee mwenyewe M4Cee, peoples power are you coming? Wallahi this one I am coming!!

William.

Mkubwa Wille, Itakuwa ni siku yakukumbukwa ni matumaini yetu wapenda mabadiliko utafika kweli kujionea, kujifunza nakushiriki kikamilifu kulitoa Taifa hili hatika hali hii ngumu tunayo pitia sote kama Taifa
 
Magamba hawashindwi kuwasomba wananchi kwa "Malori kuwapeleka mikoa ya karibu kupunguza huo umati utakao furika hapo jangwani kesho, subirin muone kama ni uongo..
 
Ni jambo jema sana kwetu wakazi wa dar ITV warushe wasirushe we will be there na tutawahabarisha kupitia hapa jamvini na kwingine kunakowezekana kuwahabarisha wandugu. Pipooooooo Powaaaaaaaaaa
 
WANA JF..

Nimesikia matangazo kwenye Radio One kwamba ule Mkutano mkubwa utakaofanyika pale Jangwani.. utaonyeshwa live na ITV kuanzia saa nane.. Hii ni habari njema kwa wote walio nje ya mkoa wa Dar es Salaam..

Source: Radio One..
 
Hawana Jipya CDM.... Niache shughuli zangu za muhimu nawaangalia wao, wananisaidia nini.. Poor u. Fooled by these politicians.. Laiti mngeyajua maisha wanayoishi hao viongozi wa Chadema.. Haya potezeweni muda hiyo j'mosi

Wewe ndo masikini wa fikra unayepaswa kuhurumiwa! Poor you!
 
arifu jama akija na hawa mashori HAPA nitamuona wa ukweli sana inabidi nihudhurie mkutano hawa HAPA tena aise

Mkuu mbona blog ya Willie haina tofauti na blog za Ngono....kina Playboy, Westcost Production,etc....naona warembo mapaja wazi wazi, aisee ni hatari kabisa. Mkuu anadhalilisha sana familia ya Malechela,
 
hofu yangu ni hujuma za tanesco siku hio ya jumamosi,unaweza kusikia nchi nzima umeme unakatika hiyo jion ya kesho!!!,tunaweza kuaidi sisi tu tutakaokwenda pale jangwani
 
Malecela uje na taulo la kufutia machozi maana utalia sana utakapo ona jinsi li chama la mzee alilo kurithisha wewe na wajukuu linavyo elekea kaburini.
arusha wamelia mpaka machozi yamewakaukia walipoona wahindi wanavaa magwanda!
Mi nategemea dsm itakua zaidi ya A.town ila mjue 2 arusha ni moto chini.
 
Back
Top Bottom